Ivi wabunge wa CCM wana agenda gani na nchi hii??? Ref. mjadala unaoendelea kuhusu Dr. Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ivi wabunge wa CCM wana agenda gani na nchi hii??? Ref. mjadala unaoendelea kuhusu Dr. Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Turbulence, Jul 2, 2012.

 1. T

  Turbulence Senior Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hoja za wabunge wa CCM kuhusu Dr. Ulimboka ni shocking! Stella Manyanya anaongea kama mlevi, ebu fikiria huyu ni RC. Mwigulu naye sijui akili zake zipo sehemu gani ya mwili. Mwenyekiti naye ovyo.

  Hawa CCM na Serikali badala ya kukaa na kujadili tatizo na kulitafutia ufumbuzi, wanatumia the little energy they have kuongea pumba. Haya matatizo ya wafanyakazi serikalini yapo kila mahali. Sasa hivi wafanyakazi wengi wa serikali wapo frustrated. Kuna tofauti kubwa sana ya mishahara na vipato baina ya MDAs na hata wafanyakazi in the same institution. Na serikali inayajua hayo matatizo lakini haitaki kuyashughulikia. Wanatumia ubabe hata penye kutumiaakili ndogo kutatua.

  Hali ya ubabe ikiendelea hivi, basi tutarajie crisis after crisis.
   
Loading...