Wapinzani wakanushe, na watoe ushahidi, CCM aka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapinzani wakanushe, na watoe ushahidi, CCM aka!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kasinge, Jul 2, 2012.

 1. k

  kasinge JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Leo kasimama Mr. katoa mfano wa Al-bashir alivotumia janjawit kuzorotesha waliompinga Mwenyekiti akasema Mr II ameitukana serikari athibishe au afute kauli. Akasimama Manyaya, akaseme CHADEMA wako nyuma ya mgomo wa madaktari. Mnyika akaomba Manyanya athibitishe, Mwnyekiti eti kama sio kweli akanushe. Mweyekiti huyu kwanza nimwemwona hawezi kabisa kuendesha lile Bunge, pili hajui sheria na kanuni za Bunge. Na kama anafanya makiusudi kulinda chama ambacho kimegawanyika, namwambia 2015 sio mbali, wananchi wanona uozo huo. Sijui ninyi mnasemaje?
   
Loading...