Mapema hapo jana Mh. spika wa bunge la jamhuri ya muungano alikuwa akizuia wambunge kuzungumzia swala la mgomo wa madaktari eti sababu swala hilo liko mahakamani. Ni mangapi yanakuwa mahakamani na...
UJUMBE WA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA KWA WAAMINI WAKATOLIKI NA WATU WOTE WENYE MAPENZI MEMA
Sisi Maaskofu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania tumekutana katika Mkutano wetu Mkuu wa...
WAKATI Serikali ikithibitisha uwezo wa kukusanya takriban Sh. trilioni nane kutoka vyanzo vya ndani vya mapato katika miezi 12 kuanzia wiki ijayo, uchambuzi wa misamaha ya kodi nchini unaonyesha...
Baraza la maaskofu catolic Tanzania limemetoa taarifa kuwa serikali imekuwa ikiwakumbatia watu wanaokashifu dini za wanzao!
Akitoa taarifa ya baraza la maaskofu Tanzania jana Raisi wa baraza...
nimefurahishwa na ufafanuzi huu wa madaktari kwani majibu ya serikali yalijikita kwenye posho tu.
Serikali badala ya kutekeleza mambo ya msingi yenyewe imejikita katika kutekeleza madai hewa kwa...
Sheikh Hamis Mattaka(kushoto) akitoa tamko mbele ya waandishi wa habari kwa niaba ya Mwenyekiti wa jopo la Masheikh wanazuoni wa kiislam Tanzania kuhusu mchakato wa kukusanya maoni ya Katiba...
Hii ndio kwel ukiwa mtoza ushuru wa TRA mishahara ni minono, cjui labda kwa sababu ni genge la walaji kwa ajil ya ndugu zao. Kwan hapo TRA hata uwe na 1st class na experience kama huna mjomba huku...
Mon, Jul 2nd, 2012
Tanzania |
Casual labourers with the China Railway 15 Bureau Group Corporation at Matai town in Kalambo District, Rukwa Region on Saturday locked up their bosses for failure...
Yuko wapi TIDO mhando jamani, TBC inakufa maana sijui ni nani huwa anaandaa vipindi kwenye chombo hiki cha habari,
Sasa hivi vipindi ni vibaya havina hata mvuto kuangali, Taarifa ya habari ndo...
Madaktari wapige upya mahesabu yao
Watu wamekuwa wakipaza sauti wakihimiza serikali imalizane na madaktari ili warudi kazini wagonjwa wasiendelee kuteseka.
Kwa kiwango kikubwa mjadala wa mgomo huu...
Awali ya yote niwasalimie ndugu wana JF wote, Napenda kuwapongeza wananchi Jimbo la Ubungo kwa nafasi yao ya kikatiba waliyoitumia kumchagua mbunge na kijana makini sana wa kuwawakilsha...
Taarifa kwa Madaktari wote nchini,
Kamati ya Jumuiya ya madaktari Tanzania inapenda kuwaalika madaktari wote nchini kuhudhuria mkutano mkubwa wa madaktari utakao fanyika siku ya Jumanne tarehe...
Jamani mi nakelwa na huyu mtu anaeitwa MWIGULU MNCHEMBA, Huyu jamaa ni kabila gani kwani?
Ananikela jamani, Kwanini anajidai namna hii huyu jamaa yupo tayali kuwatukana wezake bila hata kujali...
Ukweli tangia nimejua mambo ya siasa sijaona serikali dhaifu na ambayo haina mwelekeo kama ya JK. Pinda alituambia juzi kuwa serikali haitatoa tamko kuhusu madaktari kwa vile swala lipo...
Kwa mara ya kwanza leo nimepata mda wa kukaa na kusikiliza bunge. Kwa kweli nimeshangazwa sana na uwezo wa kipekee wa wabunge wa CCM kutumia mipasho kujibu hoja za wabunge wa CDM. Hongereni...
Kumbe mkulu kaongea na umma?!!!!! Nimeikuta hii kwenye wall ya FB ya vuvuzela wa CCM,
"Kutokana na ukweli huo basi kama daktari anayeona kuwa hawezi kufanya kazi Serikalini bila ya kulipwa...
Tanzania doctor strike escalates on torture claims
By Fumbuka Ng'wanakilala | Reuters – Fri, Jun 29, 2012
DAR ES SALAAM (Reuters) - Doctors on Thursday stepped up their strike for...
Nilikuwa mjini leo, kulikuwa na jaribio la kumwibia mhindi fulani hapo nje ya barclays kwa kutumia pistol. Mwizi alizidiwa nguvu akateka taxi akatoroka nayo lakini amekamatwa maeneo ya Fire...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.