Wabunge kulikoni! Mbona bunge liko tupuu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge kulikoni! Mbona bunge liko tupuu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bangoo, Jul 2, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwa uzoefu wangu wa kutazama bunge leo wabunge ni wachache sana, hawafiki 100 kulikoni jamani? Mnaenda wapi?!!
   
 2. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  wamekwenda kuwa trained kuchukua nafasi za doctors! pathetic!
   
 3. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,509
  Likes Received: 16,491
  Trophy Points: 280
  Wamegoma.
   
 4. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  C unajua jana jumapili bado wana uchovu
   
 5. T

  TIMELESS Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hujajua nchi haitawaliki walimunao waipa serikali wiki mbili kuanzisha mgomo vichwa vinauma
   
 6. Bebrn

  Bebrn Senior Member

  #6
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hakuna cha kujadili maana mishahara yao ilishapitishwa siku nyingi na kila ukiomba mwongozo hakuna unaokubaliwa kwahiyo bora wakaongeze pato la taifa kwa kunywa bia.
   
 7. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wapo kwenye mgomo wanataka waongezewe posho dodoma maisha ghali
   
 8. t

  thatha JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  wamekwenda chako ni chako, panajaa sana siku hizi ukichelewa hupati kiti. Hivyo wamewahi huko
   
 9. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nami nashindwa kushangaa! Ukumbi uko tupu sana..there must be something wrong!
   
 10. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #10
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Subiri siku ya kupitisha bajeti utawaona wakipitisha kwa mbwembwe za "Ndiiyoooooooo!!!"
   
 11. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,626
  Likes Received: 3,004
  Trophy Points: 280
  Inakera..tutatafuta njia subiri kidogo..naanda taarifa ya kiuchunguzi..!
  "Vox populi,vox dei"
   
Loading...