Muhimbili hakuna ambulance mpk mukodi.... Aaaaaaaaaaaar .. This ncountryyyyyy bwana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muhimbili hakuna ambulance mpk mukodi.... Aaaaaaaaaaaar .. This ncountryyyyyy bwana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Jul 2, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,167
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Nasikitika sana ; kwa hospitali kubwa km Muhimbili kutokuwa na Ambulance mpk kuomba ya AAR:baby:

  Ambulance ninazoona kila kukicha wahisani wana mwaga UMECHAKACHUA?????? NAOMBA JIBU
   
 2. F

  Falconer JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  System nzima ya uongozi ni mbovu. Wabunge wana mishahara mikubwa na marupurupu makubwa lakini sisi akina walalahoi ni mashaka bin taabu.
  Iko haja viiongozi wetu wawajibike. Waziri husika anafanya kazi gani?. Budget inaposomwa kila mwaka, makadirio ya wizara yanafanyika, wapi waziri anasemea kuhusu matatizo haya?. hata kama hatuna uwezo, basi hata NGO's hatuwezi tukawaeleza watusaidie. Mfano mdogo , kwetu zanzibar tangu pawe na serikali ya umoja wa kitaifa,"Goodwill" citizens wamefanya michango nakusaidia kwao. Watanzania waliopo nje wanaweza kusaidia kupitia NGO's ziliopo tanzania. Hivi ndivo mambo yatakavo kuwa . Otherwise bila kusaidia na kutegemea serikali, mambo yatakuwa magumu sana kwa wananchi.
   
Loading...