Serikali yaingia MOU na hospitali binafsi kutibu wananchi

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Serikali imeingia mkataba maalumna hospital binafsi kuokoa jahazi la mgomo wa madaktari katika hospitali za umma.
 
hata mimi nimesikia.Kichekesho ni kwamba madaktari wanaofanya kazi huko hospitali binafsi ni wale wale kutoka muhimbili,temeke,amana.
 
kuna mtu alishawahi niambia kikwete ni msanii,nikabisha,ila kwa hotuba yake nimeamini kikwete ni msanii ambayr tungo zake haziwezi kubamba soko kabisaaa.
anatumia nguvu nyingi kuuaminisha uma kuwa madaktari wanadai posho na mishara tu,kila sentense lazima aseme 3.5m ili wananchu tuone kuwa serikali haina makosa.lakini mie persnally hayo ya laki 9 na 3.5 hayanihusu ni wao watajuana.mie cha msingi ni hayo mazingira ya hizo hospital zenyewe.maana kumpa 3.5 dr na akaendelea kifanyia kazi kwenye majengo yalele,vifaa vilelele, ni sawa na ezeka paa jipya kwenye jengo bovu.wito wangu kwa serikali,hebu irekebishe mazingira ya hosp zetu na kuleta mitambo ya vipimo etc then wawanyime izo posho na iyo 3.5.hata wakigoma serikali itakuwa na kitu cha kusema.ila kwa sasa,raisi anatoa mashairi yasiyo na vina.hata umlete dr wa irani hawezi kufanya kazi bila vifaa muhimu.kikwete hebu acha usanii bwana.
 
Si suluhisho, tusidanganyane, MNH inauwezo wa kulaza wagonjwa wengi sana. hizo hospitali binafsi kwa miundo mbinu zao hawana uwezo wa kulaza hata robi ya wagonjwa wa MNH. Mf TMJ wana vitanda sijui 24. Dhaifu acha ujinga labda uwadanganye vilaza kama wewe. Huko kwenyewe(private) ngoma ikiduma wanawapeleka MNH, sasa siju this time watawapeleka wapi labda dodoma
 
well said my brother! hata clinic zetu za ujauzito, huwa lazma niwe na dr from muhimbili hata kama nafanya private hossy! ni uwezo mdogo wa kufikiri na ubabe ndio unawasumbua ccm!
 
Huyu si ****** akiri finyu tuu. Anadhani watu watakwenda kwa Waganga wanaotibu magonjwa yaliyoshindikana Hospitalini , Pale kwao Mlingotini . Kutawaliwa na watu wenye akili finyu nia Aibu
 
Serikali imeingia mkataba maalumna hospital binafsi kuokoa jahazi la mgomo wa madaktari katika hospitali za umma.

Huo mkataba Serikali italipa bei gani na kwa muda gani,maana hii Serikali inajiamulia tu matumizi ya fedha zetu kwa inavyoona inafaa.
 
Back
Top Bottom