Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Source, mimi mwenyewe nipo airport
5 Reactions
264 Replies
22K Views
BAADHI ya wabunge jana walimtupia makombora, Rais Jakaya Kikwete kuhusiana na mwenendo wa utawala nchini, likiwemo sakata la mgomo wa madaktari na kutekwa na kupigwa kwa Dk. Steven Ulimboka...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Muheshimiwa Rais ni kwanini unasita kuwaeleza ukweli madaktari. Madaktari wa Tanzania hawana skills za kulipwa huo mshahara wanaohitaji, tulitegemea wangemtibu Ulimboka hapa hapa nchini ili...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Kundi la wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini, wakiwa na mabango jana katika hospitali ya taifa, Muhimbili, Dar es Salaam, kushinikiza madaktari waache mgomo. Kiongozi wa...
0 Reactions
83 Replies
10K Views
TAMKO: Tamko la Madaktari Bingwa wa mkoa wa Dar es salaam (MNH, MOI, Ocean Road na Hospitali za manispaa ya mkoa wa Dar es salaam) Kutokana na kikao kilichofanyika leo tarehe 29/06/2012...
17 Reactions
161 Replies
15K Views
Kauli ya rais na amiri jeshi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juu ya mgomo wa madaktari ni janga la kitaifa.Hatukutegemea kwa kiongozi mkuu kama huyu kufikia kutoa kauli kama hiyo na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mie nadhaini mambo yako hapa kwetu kumbe watu wana habari na sasa wanaripoti kuwa Kikwete amekana kuwa Serikali haikuhusika na kipigo alichiopokea Dr Ulimboka. Wasiwasi wangu hapa ni kuwa...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Fuatilia mjadala huo kwa kubofya hapa http://www.dullonet.com/?page_id=17708
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninasikitika kwa kuwepo kwa taarifa za kuchanganya juu ya usitishwaji wa mgomo wa madaktari.Baadhi ya vyombo vya habari mfano EATV walisema madaktari bingwa wamegoma, sijakaa sawa TBC nkasikia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
nakumbuka nilipokuwa teeneger kama 15-16 hivi, niliwahi kupambana na Mzee wangu, bila kujitambua, siwezi kuelewa kwanini niliamua tu kuanza vurugu. na nilikuwa na kampeni kabambe nikipinga nguvu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Akichangia Hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Raisi , Mh. Mnyika ameanza kwa kunakili Ibara ya 33-50 ya katiba ya nchi. amesema katiba hii inampa raisi madaraka makubwa; raisi halazimiki kufuata ushauri...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kama suluhisho la matatizo yeti ni kutoka nje kwa nini basi tusiende hadi mwisho wa hoja? Sijui watatoka nchi gani!
9 Reactions
63 Replies
5K Views
Imeandikwa na Justin Damian na Deo Kishombo Alhamisi, Juni 28, 2012 09:52 *Kamal Group yawatumia uhamiaji kuwaleta 'wataalamu' wa Kihindi *Kiwanda kilifunguliwa na OSHA, lakini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikutana na bibi mmoja leo akiwa anapita kwenye mitaa ya mjini akiwa na begi lake begani, shingoni kafunga skafu ya chadema na amening’iniza kitambulisho cha aliyekuwa mgombea wa urais kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mon, Jul 2nd, 2012 Headlines / Tanzania | With the United Nations International Tribunal for Rwanda currently ending its mandate here, few people are aware that Arusha also hosts another...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ingawa wengi hawalioni hivyo, kwa wanaokumbuka kilichomkuta imla wa zamani wa Libya Muamar Gaddafi, watakubaliana nasi. Gaddafi hakutegemea kuwa angepinduliwa kirahisi na haraka vile. Tangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa maoni yangu, wahusika wakuu katika kuchochea mgomo wa madaktari nchini ni wanasiasa (WABUNGE). Nasema ni wabunge kutokana na urafi na ubinafsi wao unaotokana na kujiongezea mishahara na posho...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Awambia anawasha ngaa kumpongeza raisi kuteuwa ma DC Aanza na Dr Olimboka na amesema ni namna ya CCM kuendesha nchi awafanananisha na Janjawidi iweje au ni watu gani walio na bunduki kwenda...
6 Reactions
122 Replies
10K Views
Na Mwandishi Maalumu NAIBU Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk Asha-Rose Migiro amemaliza jukumu lake rasmi katika Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Marekani.Kwa hatua hiyo, mashirika ya UN...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Msikie na muone hapo: Tindu Lissu alipokutana na mwenyekiti mtemi na mwenye msimamo bungeni. - YouTube
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom