Kama wabunge tunawapa 7Mil na Allowance kibabao kwanin Dr kutibu asipewe hata 5mil. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama wabunge tunawapa 7Mil na Allowance kibabao kwanin Dr kutibu asipewe hata 5mil.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by STEIN, Jul 2, 2012.

 1. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu wana JF,

  Tusifanywe kana kwamba na sisi wenye nchi hii tusifanywe hatujui hesabu za kujumlisha, kutoa,kuzidisha na Kuganya... Hivi kama misamaha ya kodi ina fikia 1.3Trilion kwa mwaka, kwanini tusiondoe hiyo misamaha na badala yake tukawapa Waalimu, madaktari hizo Hela???, Kwa nini CCM wana vichwa vizito kwa kiwangi hiki???, Kwa nini CCM na wabunge na wanachama wao ni dhaifu kwa kiwango hiki????, Hivi inamaana hata hesabu hii ndogo kwa nini inawashnda???

  1.4 Trilion maana yake ni 1,400,000Mil, tukisema tuna madaktari 20,000 hii maana... kila Doctor anapata 70Mil kwa mwaka, ukigawa kwa mwaka (Miezi 12) unapata 5.8mil.. Kwa hiyo ikikatwa NSSF na Kodi watakuwa na aroud 3.5Mil kwa kila Docto tatizo liko wapi????

  Lakini hawa jamaa zetu kwa udhaifi wao wanaishia kumshambulia Dr Ulimboka ili iwe nini?

  Hivi ni serikali gani inayofanya kila kinachotoka kwa wageni bila hata kufikiri na kukataa kila wanachotaka watu wake???


  Kwa upande fulani mimi nawashukuru JK na serikali yake, ili CCM ibakie tu na kura za Mafisadi na watoto wao ni vema wasitimize madai ya Ma Dr. na waalimu ili kazi iwe Rahisi 2015 kwa CDM..
   
Loading...