Hulka hii inatusaidiaje watanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hulka hii inatusaidiaje watanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tausi Mzalendo, Jul 2, 2012.

 1. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wanasiasa wanachonga sana, wananchi nao wanachonga sana.
  Kinachotufanya tusisikilizwe ni nini? Mizaha kwenye mambo makubwa na madogo!
  Ifike mahali tuweke seriousness kwenye mambo makubwa na mizaha ibakie kwenye mambo ya mizaha.
  Tuchukulie kila jambo kubwa linapotokea, utaona mizaha kwenye majadiliano.Chukulieni suala la Dr Ulimboka.Ukisoma threads utaona mtiririko wa mizaha.Ukiacha wachangiaji wenye kuleta data au scenerios za kusaidia kulielewa tatizo lililopo basi kuna utani na mizaha.Watawala na wengineo wenye kuhusika na ishu nzima nao wanapata faraja kuwa ni YALE YALEEEE!!

  I BET MY LAST COIN, because of this.... ishu itapita kama zinavyopita ishu nyingine nyingi tu.
   
Loading...