Baada ya kuchimba mkwara kwa madaktari jk yuko nje ya nchi

segwanga

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
2,789
729
Anasherekea miaka 50 ya uhuru wa Burundi.Pumzika tu lkn ngoma huku bado inogile,specialists wamegoma pia na marekani inazidi kukomalia suala la meli za mafuta za iran kuwa na bendera ya Tanzania.Du kazi ni kwake!
 
Huo ndio Udhaifu ,ebu fikiri madaktari wamegoma ,raia wanumwa na kukosa matibabu wanakufa ,raisi anaenda burundi kusheherekea ,Duh kweli Tanzania ni nyumba isiyo na baba .Kwani ni lazima Raisi aende burundi ? Waziri wa mambo ya nje anafanya nini au makamu wa raisi naye au waziri mkuu?

Hivi tunahitaji akili ya namna gani ya kupambanua udhifu wa raisi wetu pamoja na chama chake? Lets go Doctors Lets go Tanzania saa ya mabadiliko ni sasa .Hawa viongozi wetu (CCM) ni wajinga sana eti wanasema udaktari ni kazi ya wito alafu eti wamesomeshwa na serikari .Kwani serikari inasomesha madaktari peke yao jamani mbona hata yeye Dhaifu alisoma kwa pesa ya serikali na sasa badala ya kulipa fadhira anazifuja kwa safari zake zisizo za lazima na tena wakati kama huu ambao nchi haijakaa vizuri?

I hate this CCM (magamba)
 
Back
Top Bottom