Nilitegemea leo asubuhi baada ya kupata taarifa kamili toka foreign,SMZ, Ubalozi wa USA, State department na Ubalozi wa Iran, Chama kikuu cha upinzani Tanzania wangekuwa wanazunguka kwenye vyombo...
Tanesco Yafungua Rasmi Kituo Cha Kufua Umeme Wa Gesi Asilia Wa Mw 105 Ubungo Jijini Dar
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kituo cha Umeme...
Nimekuwa nikifatilia matamasha makubwa ya burudani hapa nchini yanayohucsha wasanii wa Hip Pop nakugundua kuwa msanii Roma Mkatoliki hugeuza jukwaa la burudani kuwa jukwa la siasa kwa kutoa...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinahimiza wanachama wake na Watanzania wote kwa ujumla kujitokeza kutoa maoni kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ili taifa letu...
Wakati mataifa ya Magharibi yanatishia kuiwekea vikwazo Tanzania kwa kuruhusu usajili ya meli za mafuta za Iran na kutumia bendera ya Taifa, baraza la wawakishi Zanzibar, limesema Zanzibar kama...
Mwenyekiti wa Bunge, Jenista Mhagama, mapema leo amekataa kusomwa na kujibiwa maswali ya wabunge wawili ambao wamechaguliwa kuwa Wakuu wa Wilaya hivi karibuni. Amesema, haiwezekani Mkuu wa Wilaya...
Katika katiba ya sasa hakuna kipengele cha mwongozo wa majanga ya kitaifa...mnaonaje kama katiba ikasema mamabo yenye athari kwa taifa kama migomo ijadiliwe na bunge iwapo serikali na wawakilishi...
ni miaka takribani 50 sasa tangu taifa limepata uhuru kamili bila kuwa na hata sekta moja iliyojoofu ili hali kuna ongezeko kubwa la wataalam wanaosomeshwa na fedha za umma walipakodi..
.Mfumo wa...
Ndugu zangu wanaJF Salam,
Nimesikia mwenyewe kauli ya Balozi Sefue akitaja wajumbe wa Tume ya Kuratibu maoni ya Katiba watavyonufaika wakati wa utekelezaji wa kazi zao, alitaja yafuatayo kwa kila...
WADAU WAKATI KILA MTU ANAONGEA KIVYAKE KUHUSU MADAI YA MADAKTARI HEBU TUANGALIE JINSI KAZI ZINAZOLIPA MNO HUKO MAREKANI KUWA NI ZA MADAKTARI WENGINE WANAFUATA. NAFIKIRI HUKU KWETU - TZ MAMBO NI...
NEWS
An oil tanker off-loading crude oil in Mombasa in 2011. The international news agency Bloomberg reported on Tuesday that an oil tanker company known as NITC, owned by the Iranian Pension...
Wakati Dkt. Ulimboka alipofikishwa nje ya Kitengo cha Mifupa (MOI), Madaktari wenzake ambao wamesusa kuhudumia wagonjwa, walifurika hospitalini hapo na kuanza kusukuma gari hilo huku wakiimba...
This is because the time set by the Commission to collect views from people is too short compered to the necessity of the opinion collections and the structure of the citizens in Tanzania. with...
Ulimboka alikuwa akamatwe
na polisi kabla ya kutekwa
* Polisi walijipanga kumkamata kwa kudharau mahakama
* Walikuwa wanasubiri arrest warrant toka mahakamani
* Wanaharakati wasema usalama...
Dr. Shein Aenda Uingereza Kwa Ziara Maalum
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi pamoja na viongozi...
Wakati tukiendelea kuhakikisha haya mainteligensia yaliyokuwa na nia ya kumuua Ulimboka yanaanikwa na kuyashughulikia.
Nawaomba wanajamvi tuweze kulitazama na kulitafakali suala hili la...
Posho za wabunge ziliongezwa. Mishahara itaongezwa kufikia mil. 10. Kila ombi la nyongeza ya mishahara ya wabunge inapopelekwa, hupitishwa bila hotuba za mwisho wa mwaka. Hawa ni zaidi ya wabunge...
Hana jipya,
Mh. Zambi anahoji kuwa japokuwa kesi mahakamani madaktari wameendelea kugoma serikali inasemaje?
Pinda kasema kesho watalitolea maamuzi na kasema LITAKALO KUWA NA LIWE. Hivi kwa...
Mh. Raisi Kikwete upo Kweli?, au Mheshimiwa huoni siku hizi?, au Umekuwa kiwizi?. Matatizo ya watanzania unayasikia kweli?, Mfano:-
1. Madaktari kudai haki zao mojawapo mazingira bora na mishahara...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete tarehe 1, july, 2012 alitoa hotuba yake ya mwisho wa mwezi juu ya Mgomo wa Madaktari na biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu.Nilivutiwa zaidi namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.