Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

[*=1]Speaker, Naibu na wenyeviti bungeni wanatabia ya kuwapendelea wabunge wa CCM [*=1]Speaker, Naibu na wenyeviti wanawakandamiza wabunge wa upinzani [*=1]Bunge sasa ni Chuo Kikuu cha matusi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanasheria na mshauri wa Intelligency wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonya kuhusu agizo la kuwafungulia mashtaka wabunge wa CHADEMA ambao wametuhumiwa na Mwigulu Nchemba kuwa...
3 Reactions
81 Replies
8K Views
Upo mkakati mkubwa wa kuiuwa CHADEMA kabla ya 2015, Pamoja na mbinu za kutumia vyombo vya ulinzi na usalama wanasiasa waliokatika mkakati huo ni Zitto Kabwe,John Shibuda, Joseph Mbatia, Hamadi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
1.Mmetuvunjia makazi yetu kwa kukosa uwajibikaji wenu na kututia hasara na umaskini mkuu 2.Mara mkaanza kuuza mashamba na viwanda vyetu kwa walowezi. 3.Mkaendelea kuiba madini yetu na wanyama...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
RAIS Kikwete amezindua mradi mkubwa wa maji wa Uwanja mpya wa Ndege wa Swaya mkoani Mbeya, huku akivirushia madongo kwa vyama vya upinzani kuwa vinafikiria kuanzisha ugomvi kila siku badala ya...
0 Reactions
95 Replies
9K Views
Anne Makinda alisafiri akiwa amevaa vazi la kiislamu kuelekea Zanzibar, lakini ukiangalia kwa undani sana hiyo safari yake ilikuwa na mambo mengi,Baada ya kukataa kuhairisha bunge wakati meli...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Posted on July 23, 2012 by zanzibaryetu Othman Masoud Othman ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Zanzibar akitoa mada katika semina ya siku mbili kwa wajumbe wa baraza la wawakilishi kuhusu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii hufanywa na makampuni ya simu makao makuu kama ifuatavyo؛mf. Mnyika na nchemba 1.kufunga mawasiliano kwa mlengwa aliyedhamiriwa kupakaziwa kesi(network low au unavailable at all) line...
6 Reactions
60 Replies
9K Views
Nipo nafuatilia bunge mda huu,(KUPITIA STAR TV) juma nkamia anamwaga kero za Tbc, je leo tutegemee matatizo ya Tbc kutatuliwa???? Naye Sugu anamwaga sumu kuhusu sekta ya habari akisomea kambi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kutoka Ifakara: Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi amemshukia vikali Mwigulu Nchemba na Nape kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kata ya Mkamba. Munishi amedai kuwa Mwigulu...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Kwa mara nyingine tena Rais amepitisha muswaada kuwa sheria kandamizi ktk ustawi wa watanzania. Wakati CCM ikiendelea kuimba wimbo wa kutengeneza ajira kwa vijana kwa kutmia mkono wa kulia...
0 Reactions
2 Replies
869 Views
Tukiwa katika mikakati mizito tukilenga matakwa yetu yatimie 2015 basi ni muda muafaka wa kukata tiketi yako mapema na kuchagua usafiri wa kuingia nao 2015.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
UPDATES Nimepata taarifa punde kutoka kwa Kamanda Shabaan kuwa Kamanda Waitara anashikiliwa na polisi. Ilikuwa nbi baada ya kuandikisha maelezo yake polisi. Kulikuwa na understanding kuwa baada...
24 Reactions
223 Replies
19K Views
Nilikua katikati, nimemsalimia AC Mawazo, Lema, na Milya. Simu yangu mbovu maana mngeona wamasai wanavyolia kwasababu ya huyu jamaa (milya) yani, amewaeleza vizuri kimasai, baadae akaja kiswahili...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Waziri wa miundombinu na mawasiliano (Zanzibar) Hamad Masoud Hamad (CUF) amejiuzulu kufuatia ajali ya boti ya Mv Skagit. Nafasi yake imerithiwa Mhe. Rashid Seif Suleiman (Ziwani, CUF) Waziri wa...
2 Reactions
140 Replies
13K Views
THERE CAN ONLY BE ONE PRESIDENT AT A TIME! Huo msemo niliusoma mahali sina uhakika walimaanisha nini lkn nafikiri alimaanisha kwamba kutakua kuna watu weengi kama 500 wanautaka Uraisi wakati Rais...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kujua kwanini hadi lea JWTZ hawajapata pay kwani hupata kati ya th.18 na 19. Serikali imefulia au ndo marekebisho ya mishahara.
0 Reactions
45 Replies
6K Views
CHADEMA Wilaya ya Arusha mjini P.o.box 12525 Arusha Ngarenaro h/se no 8 NHC street ... Ratiba yetu ya mikutano ya hadhara ni kama ifuatavyo Julai 25.Kata ya Themi Julai 26.Kata ya Kaloleni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
chadema mnafahamu mnachokidai Nnimekuwa nikifatilia kwa makini siasa za tanzania na hasa vyama viwili chadema na ccm.nimekuwa nikikifatilia ccm kama tawala na chadema kama chama mbadala wengi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom