Ufisadi mkubwa umeanza kwenye gesi!!!Aibu kubwa!!!! Euro 126.2 Mil alizosaini JK ni rushwa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi mkubwa umeanza kwenye gesi!!!Aibu kubwa!!!! Euro 126.2 Mil alizosaini JK ni rushwa!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Honolulu, Jul 24, 2012.

 1. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  11:46 a.m. CDT, July 23, 2012  NAIROBI (Reuters) - The European Union has given Tanzania 126.5 million euros ($153.28 million) to improve road infrastructure and access to drinking water in the gas-rich east African nation, the European Commission said on Monday.

  Agreements for the aid were signed during a visit to Tanzania by European Commission President Jose Manuel Barroso and other senior EU officials over the weekend, the European Commission said in a statement...


  My opinion: Hapa tuhesabu tumeumia! Jamani wanasisa kuweni na huruma kwa wananchi wenu!! Hiyo mikataba ya kisiri siri iwekwe wazi na ijadiliwe bungeni!

  Juzi Rais Mseveni ameweka msimamo wa wazi kwamba lazima Uganda ifaidike na mafuta kwa 40%. Tanzania kila kitu ni mikataba ya siri! Dhahabu tunambulia 3% kwa sababu ya usiri huu wa kifisadi. Na sasa mmeanza na kwenye gas!!! Bila shaka tutaambulia 2%. Aibu!!! Aibu!!!!!!!
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Serikali sikivu hiyo bora Mimi sikuwapa kura yangu kwahiyo ninaruhusiwa kulalamika sasa wewe uliyewapa halafu unalalamika huo ni uchuro vumilia kiume kwi! Kwi! Kwi! Kwi!
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwani ndio mara ya kwanza Tanzania kupewa fedha na EU?

  Isitoshe, mnataka gas ilete nini kama sio fedha?
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Umekosa la kuandika? Ingekuwa siri wewe ungejuwa? Soma hizi kidogo, ufumbuwe macho:

  The Country Strategy Paper for Tanzania (2008-2013) [​IMG] presents the strategic framework for the co-operation of the European Commission (EC) with Tanzania under the 10th European Development Fund (EDF).
  Two main thematic areas of assistance are infrastructure, communications and transport as well as trade and regional integration. Additional EC interventions in Tanzania provide support to non-state actors (NSA) to improve democratic governance and growth (€23 million); measures to support energy and climate research (€8 million); and support to governance reform programmes, including Zanzibar (€11 million).
  The EC is committed to continue the use of macro-economic support in Tanzania and has earmarked €305 million (55%) for general budget support and €139 million (25%) for sector budget support. In total, this constitutes up to 80% of the total allocation of €565.1 million under 10th EDF funding.

  http://ec.europa.eu/europeaid/where/acp/country-cooperation/tanzania/tanzania_en.htm
   
 5. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Unajua mwizi hakosi cha kujitetea. Sasa unaparamia mambo mengine ambayo hata hayahusiani na habari husika! Maskini kabisa wewe!!! Sasa hiyo "country stratergy paper" kwa uelewa wako ndiyo inayoruhusu rushwa!!!!??
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe kujitetea nini? kama huna cha kuandika ungekaa kimya tu. Misaada ya EU haikuanza leo Tanzania nchi za Ulaya zimekuwa zikii support Tanzania toka tupate Uhuru. Wacha kuwa limbukeni.

  Soma hii: :: FREE AFRICA FOUNDATION ::
   
 7. o

  oyaoya JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimerudia mara kadhaa na sijakuelewa, kwa hiyo kila msaada sasa hivi ni rushwa ya gesi? Jaribu kutumia kichwa kufikiri kidogo siyo kufuga nywele tu
   
 8. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Iwapo kila siku unasoma magazeti ya udaku ni wazi hutaelewa habari hiyo. Kuna jambo ambalo si zuri hata kidogo!!

  Kila kukicha mabosi wa makampuni makubwa wanatembelea Ikulu. Kwa nini makampuni makubwa wanakuwa na mikutano na uongozi wa juu wakati hata bunge halijapitisha sheria ya mafuta? Soma International news ndipo utakapoelewa kinachoendelea.

  Hebu shughulisha ubongo wako kidogo tu uone jinsi international companies wanavyopania kwa udi na uvumba kuikwapua gesi ya Tanzania. Usiposhughulisha ubongo, utazidi kushangaa hadi hapo utakapokuta na wewe ulikwishauzwa!!!
   
 9. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Rushwa iko wapi?

  hevu tufahamishe
   
 10. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Honolulu, pengine habari yako ni sahihi, lakini kuiweka hapa bila ya kuwa na maelezo ya kina, habarii yako iaonekana kama ni ya udaku vile. Sio tu uweke hapa msaada wa EU kuwa ni rushwa kwa ajili ya gesi, bali weka mikataba iliyosainiwa, au inayotaka kusainiwa, ikiwa inaihusisha EU.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  The same old story

   
 12. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Waliosema Tanzania ni shamba la bibi hawakukosea.
   
 13. A

  Africa_Spring JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe ndo limbukeni usiekua na mkia...watu hawazungumzii EU kuacha kutupa misaada watu wanataka kujua hizo fedha zinaenda wapi na na je tunaweza ku pataje feedback ya matumizi halali ya hizo fedha...sasa wewe unakurupuka na kudhani watu wanahoji EU kutoa misaada,,,kwanza na wengine tunasomeshwa na EU hiyo hiyo.Jibu hoja...acha woga
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Wewe ma.ta.k.o toka mnapata uhuru mnasaidiwa, hiyo misaada inakwenda wapi? mbona kila kukicha afadhali ya jana. hatushangai kukuta watumishi wa uma ni matajiri kuliko wafanyabiashara. hakika ubongo wako pamoja na mat.ak.o yana ukurutu, mat... unakunwa, ubongo ndio uharo unaoporomosha namna hii.
   
 15. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Kwani hao kina MKUKUTA cjui MKURABITA cjui nn wamefanya kitu gani hadi leo.? au ni kuzidisha umasikini tu. Funguka
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280

  zomba,

  Naona unatoa darsa kabla ujaingia kwenye munakasha mchana wa leo...endelea kutoa elimu humu JF kuna watu wanaelimika kupitia kwako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe ile debate ni leo? Ngoja nijiandae nisijekosa...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  May be right but a good teacher should allow good students to rise their eyebrows.....................!!!!!!!!!!
   
 19. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Hatutaki mikataba ya siri ya kuambulia %3,tunataka mikataba ya wazi na ijadiliwe bungeni we uansemaje kuhusu hilo?
   
 20. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Mi nilisha-rule out longtime kitambo kwamba we no longer have a president but just a certain popular world beggar!
   
Loading...