There can only be one president... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

There can only be one president...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kijakazi, Jul 24, 2012.

 1. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  THERE CAN ONLY BE ONE PRESIDENT AT A TIME!

  Huo msemo niliusoma mahali sina uhakika walimaanisha nini lkn nafikiri alimaanisha kwamba kutakua kuna watu weengi kama 500 wanautaka Uraisi wakati Rais anaweza kuwa mmoja tu, kuna mengi mtu anaweza kufanya kubadilisha jamii inayomzunguka!
   
 2. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kijakazi kwa upande wangu naona maana yake ni kuwa Uongozi wa kweli unatakiwa mtu mmoja tu mwenye intelligensia, busara, nguvu, guts za maamuzi ya matendo hasa magumu for the betterment ya jamii na uhimili wa kuweza endesha serkali as opposed to ile tabia ya Kiongozi kuwa na kundi/cambi ambayo inanguvu kuliko yeye ama wahusika sana kiasi kwamba hawezi toa maamuzi bila veto vote ya hilo kundi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...