CHADEMA Arusha kuendeleza mikutano ya hadhara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA Arusha kuendeleza mikutano ya hadhara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JOB SEEKER, Jul 23, 2012.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA Wilaya ya Arusha mjini
  P.o.box 12525
  Arusha
  Ngarenaro h/se no 8
  NHC street
  ...
  Ratiba yetu ya mikutano ya hadhara ni kama ifuatavyo

  Julai 25.Kata ya Themi
  Julai 26.Kata ya Kaloleni
  Julai 27.Kata ya Sombetini
  Julai 29.Kata ya Elerai
  Julai 30 Kata ya Daraja mbili
  Agosti 1.Kata ya Kimandolu
  Ratiba hii ni kwa awamu ya kwanza,baada yah ii awamu tutakuja tena na ratiba kwenye maeneo mengine.Ungana nasi katika harakati hizi za ukombozi,kwa kutuchangia kupitia namba ya m-pesa 0758003509
  BY EPHATA NANYARO
   
 2. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  Gari iko full tank, tukutane mkutanoni kamanda
   
 3. TETILE

  TETILE Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  M4C daima tupo pamoja kamanda
   
 4. mashami

  mashami Senior Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kimandolu ni kwa wapi unafanyika? Sababu
  kaloleni inakuaga pale Soweto Garden vyote nahusika kabisa
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  hii imetulia msisahau kata kama sombetini, sokoni 1 na unga ltd
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nape iga ufe!!
   
Loading...