Mabere Marando:Jambo hili ni zito,Werema sharti asikurupuke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabere Marando:Jambo hili ni zito,Werema sharti asikurupuke

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makala Jr, Jul 22, 2012.

 1. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwanasheria na mshauri wa Intelligency wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameonya kuhusu agizo la kuwafungulia mashtaka wabunge wa CHADEMA ambao wametuhumiwa na Mwigulu Nchemba kuwa walimtishia kumuua.

  Marando amebainisha kwamba amepata ushahidi kuhusiana na mtoto wa kigogo serikalini kununua mtambo maalumu unaoweza kutunga message kwa namba fulani kisha kuituma kwa mtu.

  Mtambo huo unadaiwa kununuliwa Israel kutoka kampuni liitwalo Nice company. Marando kaongeza kuwa We rema asikurupuke kwani kisa maslahi ya kisiasa ya CCM kwani ataumbuka vibaya ila anamsisitiza kama anadhani yuko sahihi aende mahakamani kumshitaki yeye Marando.

  Pia ameonya tabia ya viongozi wa bunge kutokukubali kujadili hoja nzito kwa kisingizio kuwa kesi ipo mahakamani ni udhaifu wa kiuongozi na ni kuingilia uhuru wa vyombo vya habari.Inawezekanaje waandishi wa habari kuhudhuria mahakamani kisha wakatazwe kuandika chochote? (source:itv habari za juma)
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hakuna jabo zito hapo ni ujinga wa werema tu...hivi unakaa unawaa umbumbumbu wa werema? werema hajui kitu anachoongea yeye anafikiri nchi inaongozwa kwa vitisho..watu walishaachaga kuogopa mbona..
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Werema ni mwanasheria dhaifu kuliko wote waliojiri, bil ya shaka atakurupuka.
   
 4. Masaningala

  Masaningala JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 539
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Uongozi wa awamu hii ina AG mropokaji ambaye huwezi kutofautisha na "bush lawyers" wa vijiweni au mabaraza ya kunywa kahawa au kucheza bao. Anaishushia heshima nchi yetu. Lakini dawa yake iko jikoni. 2015 atatakiwa atoe hesabu ya matendo yote anayofanya sasa.
   
 5. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Uzuri ni kwamba hawa ccm wanazidi tu kujidharirisha, hebu ona jinsi watoto wao wanavyojihusisha na siasa chafu ili kuhakikisha baba zao wanaendelea kutunyonya mpaka tubaki mifupa...na hawa TCRA kama kweli wakare wameshindwa ku detect huu mtambo?

  Isitoshe ingekuwa vigumu kwa mtu yeyote mwenye akili timamu kuamini upuuzi huu kuwa wabunge wa cdm wangeweza kutuma sms kama hizo huku wakijua wazi kuwa lazima wangegundulika kama wangefanya hivyo (ndio tatizo lingine la magamba kudhani watz ni wajinga kiasi hicho) lakini hii yote ni heri kwa sababu ndio inatupa fursa ya kufukunyua uozo wao.

  Marando amesema ana ushahidi wa kutosha na tuhuma hizo na wakijifanya wajanja anawachoma laivu.
   
 6. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu kaandika vizuri sana kuhusu huyu Werema maana hata kumwita AG ni kichefuchefu. Mwana JF kasema Wereme ni kama AG wa CCM badala ya kuwa AG wa serikali.
   
 7. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  he is a moron, stupid beyond comparison.., a jellyfish has a bigger, wiser brain than werema's..,

  the other day alisimama kupinga hoja ya lissu, instead of providing strong, objective argument, aliongea mavi..,

  Hili jinga ndo lilisema katiba iliyopo haihitaji marekebisho..., wht a silly AG you have!
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Huyu Werema ni Taahira wa Kizazi cha Kikwete
   
 9. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,943
  Likes Received: 1,268
  Trophy Points: 280
  Werema ni mzigo!
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Werema ni limbukeni wa cheo
   
 11. m

  mpigilie JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Werema ana utapiamlo wa ubongo,chembechembe hai za ubongo wake zimeexpire,kuna uwezekano alivyokua mtoto aliwahi kuanguka na kupiga kichwa hivyo ubongo ukachanganyika na maji
   
 12. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hivi Warema, Chiligati, Wassira na Nape nani mwenye akili timamu?
   
 13. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nahisi nape hataenda mahakamani. Watamshauri asiende. Ila i wish angekwenda na nchemba wake , tuone mwanga nusu kilo inavyokimbiza tani ya giza.
   
 14. B

  Bob G JF Bronze Member

  #14
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Werema amekuwa Dhaifu zaidi na ndio maana JK alimpa Lisu kazi ya kurekebisha muswada wa sheria ya katiba
   
 15. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,555
  Likes Received: 4,679
  Trophy Points: 280
  Akili ya Werema imechanganyika na haja kubwa.
   
 16. L

  Luushu JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 592
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Time will tell
   
 17. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Werema anafanana na wabunge wa ccm madokta na maprofesa walioweka elimu zao mifukoni na kuongea kama watoto wa darasa la pili. Hawazipi kazi bongo zao, badala yake matumbo yao yanafanya kazi hiyo.
   
 18. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wote wana akili.
   
 19. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wanaweza wakawa na akili za kuvalia suruali lakini sio za kufikiria au kujitambua
   
 20. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  angekuwa anamtembelea mwanyika na kumwuliza kuwa alikuwa anafanyaje.....
   
Loading...