Wamesema bora wabaki na umaskini kuliko kuwaunga Mkono Chadema
wamedai wamepigania Uhuru kufa na Kupona huku mikoa ya kaskazini ilikuwa haikuwa na harakati za ukombozi, lkn sasa hivi wanaona...
Kama mtanzania mwenye mapenzi nini mtazamo wako kuhusu Dr Ulimboka na kurudi kwake Tz baada ya matibabu kukamilika na hatma ya maisha yake?
Kitendo cha kutaka kumtowa roho Dr Ulimboka...
Ndugu wana jamvi, nimesoma Hotuba aliyoitoa Mwalimu Nyerere, wakati huo akiwa Rais, kwenye mkesha wa kuamkia 1.1.1970. Nawashirikisha sehemu yeke, maana hotuba yenyewe iko kwenye kijitabu chenye...
IJUMAA, JULAI 20, 2012 06:13 NA EVANS MAGEGE, DAR ES SALAAM
WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Kigamboni, wamesema wanapata shaka kutokana na mwenendo wa mbunge wao...
Ndg zangu nashauri tumuombe prof maghembe agombee rais mwaka 2015 kwani ni msomi na katika kipindi alichoo kaa serikalini amefanya mambo makubwa ndiyo maana wizara moja hadi nyingine kila...
Jana katika taarifa ya habari ya ITV na STAR TV nilishangazwa na kitendo cha Raisi kushangilia,kuimba na kutoa maneno ya kejeli kwa wapinzani,kwenye ufunguzi wa kisima cha maji ambacho hatujajenga...
:spy::spy:Kwa kweli spika wa tanzania amezidi kudakiadakia wakati wabunge wanatoa michango yao haoni kama ana jishushia heshima? Hana washauri wa kumweleza wadhifa huo ni mkubwa na unahitaji mtu...
Dhulma ya Tanganyika litan'gooka sasa. Tuko Tayari kwa kila kitu, hili swala tumelivaa kiimani. Hatuwezi kulipata nchi bila kuingiza Uislamu.
"Tunadai Zanzibar yetu Kwenye makucha ya Tanganyika...
Baada ya kuzinduliwa hivi karibuni, tawi la CDM DC, Maryland na Virginia wamemualika katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Mhe Amani Golugwa kwenda kulijenga na kusimamia uchaguzi mdogo wa TAWI wa...
Serikali imepitisha sheria rasmi kuwa hakuna mtumishi yeyote anaeweza kuchukua mafao yake katika mfuko wowote wa pensheni mpaka tu afikie umri wa kustaafu miaka 55 kwa hiari au 60 kwa lazima...
Tue, Jul 17th, 2012
Tanzania |
Tanzania will send between 100 and 200 troops to a peacekeeping mission in war-torn Syria, the National Assembly was told here on Monday.
Defence and National...
Cheki Link: http://www.wavuti.com/4/post/2012/07/just-in-chama-cha-madaktari-tz-chawasilisha-maombi-un-ya-ulinzi-kwa-viongozi-wake.html#axzz2084J7V40
Kimenuka: Chama Cha Madaktari(MAT) kimepeleka...
Hii sasa thihaka kwa waathirika wa meli iliyozama Zanzibar! Ndugu zangu nikiwa naangalia taarifa ya habari ITV, nimeona waokoaji wakilalamika kuwa baharini kuna miili ya watu wengi tu ila...
Monday, July 23, 2012Na Gustaphu Haule, Kisarawe
MWANDISHI wa habari wa kituo cha Televisheni ya Channel Ten, Marietha Nsembele juzi alitishiwa kulogwa yeye na familia yake na Ofisa Uhamiaji...
Kupitishwa kwa Sheria ya mafao ya uzeeni inayozuia wafanyakazi kulipwa withdrawal imedhihirisha kuwa CCM si chama cha wafanyakazi na wakulima bali cha wafanyakazi, kingekuwa cha wafanyakazi...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia baadhi ya wabunge wakati wakichangia mijadala mbalimbali wakiitaka Serikali iwaangalie kwa jicho la huruma.Baada ya kutafakari kwa muda namna hilo jicho la huruma...
Jaman mchuano wa CHADEMA na CCM sasa umekua mkubwa kiasi cku zinapokaribia 2015 mambo mzito yanaibuka. watu wanatishiwa maisha wengne wanataka wapinzani wao wafutwe na msajili wa vyama, sasa je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.