Mishahara mwezi kuchelewa sana kwani hata JWTZ bado. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara mwezi kuchelewa sana kwani hata JWTZ bado.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kayabwe, Jul 23, 2012.

 1. Kayabwe

  Kayabwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 338
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Napenda kujua kwanini hadi lea JWTZ hawajapata pay kwani hupata kati ya th.18 na 19. Serikali imefulia au ndo marekebisho ya mishahara.
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Wao wenzao wakiandamana kuhusu mishahara siwanawazuia vibaraka watwana hao to hell with ua idiotic! Foolish! Incidible! Stupid! Open ended mind ,wasipewe kabisa i hate them sana hawalalamiki ila rushwa ndio zinazidi barabarani utaulizwa kwanini stika zimechanika?
   
 3. v

  vngenge JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Liko mahakamani Mh viachieni vyombo vyo dola vifanye kazi yake, msiviingilie
   
 4. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Sheeh!! Pungusa jasba, tatoboa macho yangu rafiki! He he heheheee
   
 5. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Povu linakutoka mpaka unasahau unaongelea akina nani, hivi siku hizi JWTZ wanakaa barabarani. Punguza hasira nivea
   
 6. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 762
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  jamani ni kweli hatujapata na si kawaida pengine pesa zimeenda kuzika zanzibar,kazi ya ccm ni misiba tu na ndo maana jk kila ikizama meli lazima akauze sura na hatuoni awajibikaji,i hate jk,i hate ccm and i hate any one with afiliation with ccm
   
 7. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa hao ni JWTZ?Au huwajui jwtz wanakuaje?Gamba we!
   
 8. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
   
 9. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  .Pole kaka pole sana
   
 10. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
   
 11. d

  dguyana JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dhaifu akifika 2015 salama sijui. Maana Yahaya Boy alishaondoka na vifaa vyake sasa jamaa haeleweki.
   
 12. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unafatilia mishahara ya watu we kama nani?au jambazi nini unataka ukawapore pesa zao.
   
 13. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wamekulalamikia au unawashwa umeamua kuja kujikunia hapa jf.
   
 14. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nafikiri JWTZ hawahusiki na usalama wa raia, wao ni usalama wa mipaka ya nchi!
   
 15. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Mkuu katika watu wenye heshima zao ni JWTZ. Hawa jamaa hawahusiki kabisa na masuala ya rushwa. Mishahara kuchelewa nadhani ni sababu ya bajeti
   
 16. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nakubali mkuu. Ila kero yao nao kupanda daladala bure. Askari polisi hasa wa barabarani ndo noma, mpaka inatia kero. Nadhani hata hii polisi jamii ya Said inakuwa ngumu kutokana na vijana wake kutanguliza njaa mbele.
   
 17. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu lakini hii maana yake ni kuwa hata wao wanapitia makali yale yale ya maisha ila tu hawawezi kuandamana kama anavyotaka mdau hapo juu.
   
 18. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Umejuaje kama hawajapata maana umetumia utatau (hawa..) na siyo (hatu....)
   
 19. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kwa hivyo, sasa ni 'man eat man society'?
   
 20. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Aaah jamani siku mbili tu mnalalamika..............mbona sisi wa juni tumepata tarehe 15 julai! Acheni kujilegeza bana nyie wajeshi
   
Loading...