Orkesumet m4c (bila picha) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Orkesumet m4c (bila picha)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MARCKO, Jul 23, 2012.

 1. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nilikua katikati, nimemsalimia AC Mawazo, Lema, na Milya. Simu yangu mbovu maana mngeona wamasai wanavyolia kwasababu ya huyu jamaa (milya) yani, amewaeleza vizuri kimasai, baadae akaja kiswahili.

  Watu walirindima, wanafunzi na walimu walitoroka mashuleni, wafanyakazi wa halmashauri waliomba ruksa, na wengine walitoroka, kadi za CCM zimerudishwa, Lema amesema hizo zisichomwe, nape apelekewe akaone maana anakiherehere sana. Kadi za cdm zimegawanywa na milya, watu wanagombania, Lema anasema 'milya acha kwanza watagawiwa baadae maana tunawahi.

  kiongozi kakabiziwa na zimeisha tayari. watu wanachukizwa kadi kuisha. nitafatilia nijue walikua na kadi ngapi. Ah, jamaa jimbo kalichukua kabla ya uchaguzi wazee!
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  olesendeka presha uko juu kweli kweli
   
 3. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Japo umejieleza kuwa hakuna picha, fanya utafiti kama unaweza kumpata aliyepiga kwa kamchina kake uiweke hapa, maelezo yako yanavutia kuiona picha,
  chadema tunaiamini mwanzo mwisho!!
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  halafu hawa wamasai wakilielewa somo la kupiga na kulinda kura mmh! Kushoto rungu, kulia sime, nadumisha mila!!!! Sijui tapita kipande ipi! Ile ya sime au kipande ingine!!!
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Subirini Ole Sendeka atakavyoropoka huko mjengoni
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hili la kadi kuisha lina kera sana chadema wajue watu wana hitaji kadi kwa wingi, watu wana hitaji bendera kwa wingi hata kama ni kwa kununua ingawa kama wanavyouza kadi....
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Safari hii watazungukiwa waropokaji na mabingwa wa ushuzi bungeni...naambiwa mikutano ya leo ni zaidi ya kata 9 kwa siku moja hii kasi haija wahi kutokea kufanya mikutano zaidi ya 9...
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hii inakera siyo utani, inapunguza kasi ya watu kujoin! Binafsi imeniudhi sana ukizingatia tokea April kadi na bendera arusha imekuwa nadra sana.
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Siku wananchi wa Mtera wakizinduka kutoka usingizini patachimbika!
   
 10. Lawrence Luanda

  Lawrence Luanda JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Daaa hii iko poa wadau......peoplezzzzzzzzz
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Tuta waambia maana sasa imekuwa kero kubwa kadi na Bendera watu wanazitafuta kwa udi na uvumba kadi na bendera za chadema kwanini wasi tengeneze za kutosha hawa jui kuwa mwaka 2015 ni cham tawala..
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Wataelewa somo tu wewe subiri timu itue huko...
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Wameshaelewa siku hizi hata viatu vyao changa ni bendera za Chadema tu, hapa ni kuwapa somo la kulinda kura tu...
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Niliwaona asubuhi hawa vijana wakiwa wanajiandaa kwenda pande za Simanjiro...kumbe wameenda kufanya uharibifu mkubwa kiasi hicho?
  Aisee, hawa mabwepande wafanye mpango wamrudishe Lema mjengoni, vinginevyo watalia kili cha mbwa-mdomo juu!
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nimeenda hapo mkoani mara nyingi sana, hakuna kadi.

  Kata yangu kuna matawi mapya ya msingi ambayo yamesimamishwa, watu wamejitokeza kugombea nafasi za uongozi kuanzia ngazi za msingi, matawi na ubalozi lakini tumeshindwa kutokana na kukosa uanachama. Wengine wamelipa kabisa hela za kadi lakini kila nikienda naambiwa hakuna kadi.

  Hii nadhani inatokana na operation inayoendelea ambapo kadi nyingi zinapelekwa kule, na pia kasi ya utengenezaji wa kadi nadhani haiendani na mahitaji ya watu wanaojiunga na chama.
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Mkuu hawajaenda kufanya uharibifu, bali wameenda kupeleka somo kwa wana Simanjiro! Ole Sendeka sasa kila baada ya dakika mbili anaenda kukojoa, amani meti!
   
 17. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mungi tuwasiliane...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Watu wamewapachika jina la Mapacha watatu yaani Lema, Ole Milya na Mawazo..Ole sendeka nakazi maana mpinzani wake wa siku nyingi kaingia kwenye chama kamini...
   
 19. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #19
  Jul 23, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nimekusoma kamanda shukran
   
 20. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wakuu moto huo nimeupenda unavyo wachoma Wazee wa mabwepande msituni,gambazz safari hii chamoto watakiona,CDM makao makuu mmetusahau huku Kahama-shinyanga tunataka M4C watu wavue magamba wanasema yanawasababishia ukurutu.
   
Loading...