Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Marando amesema mwenyewe kuwa alikuwa mwajiliwa wa usalama wa taifa, sasa ni vipi aliacha kazi hiyo? Alifukuzwa? Kwa nini alifukuzwa? Alistaafu? Na alikuwa na wadhifa gani wakati anatoka huko? Je...
0 Reactions
71 Replies
21K Views
-Kwa mtu yeyote mwenye kutafakari maswala kwa undani, utaona umuhimu wa kuisikiza hoja na hata kuwaunga mkono hoja ya wana UAMSHO kuitaka Zanzibari kujitenga kutoka kwenye muungano. Kosa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakika kama ilivyo kwa wananchi wengine wote, Wabunge nao wanatakiwa kuwajibika ipaswavyo wawapo Bungeni na majimboni kwao. Hata vivyo, je wananchi wanapata picha gani ya chombo hiki kikubwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
-Kutoa idea chanya kwa CHADEMA, mfano, blogs, security ya viongoz (nyumba zao kua na camera), kutengeneza ushahidi mikutanoni (kila mkutano uweunarekodiwa manake magamba wakishindwa wanatupeleka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sisi watanzania tuko wapole sana. Tunaelewa kabisa sasa kuwa mmiliki wa Dowans ni Rostam. Hilo nalo linathibitishwa na ukweli kwamba hata wakili Fungamtama ameajiliwa na Rostam, ndiyo maana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Closed
1.kikwete muislam. 2.bilali makamu wa rais muislam. 3.jaji mkuu othman chande muislam. 4.mkuu wa polisi said mwema muislam. 5.mkuu wa usalama wa taifa othman muislam. 6.nape nauye katibu mwenyezi...
5 Reactions
48 Replies
5K Views
Katika kile kinachoonekana kutafuta mahali pa kujishika, Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba amemtaka msajili wa Vyama vya siasa nchini John Tendwa kusitisha mara moja operesheni Sangara za...
20 Reactions
175 Replies
12K Views
  • Closed
Idadi kubwa ya viongozi wa Chadema ni wadini Moja. hili ni dalili kwamba Upinzani ni hatari kuliko hata CCM a)BAVICHA John Heche ,Makamu Mwenyekit Joliana Shonza Bavicha Shinyanga Mwenyekiti...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa kweli kanun zinakiukwa tu na Bunge linaendeshwa Kidikteta...INAWEZEKANA UMEWEKWA KWA MASLAH YA WACHACHE!
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Napata shida hasa ninapoangalia video ya vita vya kagera eti msevenna okelo waliungana na wanajeshi wa tz,nisaidieni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sunday, July 22, 2012 Rais Kikwete azindua mradi wa maji Mbeya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo katika Jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs(wapili kushoto), balozi wa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wakuu! Kwa siku sasa ya 6 nikiwa hapa moro mjini ni juzi tarehe 21 tu pale viwanja vya fire mjini, chama cha CUF kilifanya mkutano wake ambapo katika ajenda zake viongozi wake ambamo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
M4C yatua kwa olesendeka kwa chopa, Wakazi wa mjini Arusha leo Asubuhi walijitokeza kwenye uwanja wa NMC kuwaaga makamanda watatu Lema, Ole Milya na Mawazo walipokuwa wanajianda kupanda chopa...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Huu ni mkutano wa CCM jana Kigoma pamoja na mbwembwe nyingi za matangazo wananchi wa Kigoma wameonesha kuwa CCM haitakiwi Kigoma. Inabidi mikoa mingine iige huu msimamom wa kuikataa CCM.
4 Reactions
65 Replies
8K Views
Katika nchi hii kuna mambo ya ajabu sana, na hili ni mojawapo. Wafanyakazi katika sheria hii mpya wana mambo muhimu ya kujiuliza: Upitishwaji wa Sheria Hii Mpya Sheria zote zinazopelekwa bungeni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wengi wanazumgumza mengi kuhusu Rais anayefaa 2015. Watanzania wengi bado wanadhani urais ni mchezo(Game) kama ilivyo Bongo Star Search au American Idol ama Big Brother Africa, Kagame Cup, UEFA...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni mlezi wa Hospitali ya CCBRT Mhe. Anne Makinda akisalimiana na Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Jose Manuel Barroso alipowasili Hospitalini hapo...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
........Nape amemtaka Marando afute kauli au adhibitishe kauli yake. Nae Mwigulu kaonyesha kimemo alichoandikiwa na kamanda Mbowe na kusema kuwa kilikuwa na lugha kali sana, na amesema kuna siku...
1 Reactions
133 Replies
11K Views
Napata shida sana kuelewa kwa nini inakuwa hivi. Bajeti inasomwa inachangiwa wenye kuiunga mkono wanaiunga na wenye kuipinga wanaipinga mimi sio mwanachama wa CHADEMA ila napenda sera zao...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Hussein mwinyi waziri wa afya=mtoto wa Ally Hassan Mwinyi. 2. vita kawawa na dada wake wabunge wa CCM =watoto wa Rashid Kawawa. 3. David matayo mbunge na naibu waziri wa CCM=mtoto wa Cleopa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom