Hawa ndio watakao tumika kuuviruga CHADEMA kabla ya 2015

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Upo mkakati mkubwa wa kuiuwa CHADEMA kabla ya 2015, Pamoja na mbinu za kutumia vyombo vya ulinzi na usalama wanasiasa waliokatika mkakati huo ni Zitto Kabwe,John Shibuda, Joseph Mbatia, Hamadi Rashidi,John Cheyo na Lyatonga Mzee wa Kiraracha.
 
wanapoteza muda wao, wanaookipa ridhaa chama si wakina shibuda ni wana nchi. aibu itabaki juu yao.
 
Upo mkakati mkubwa wa kuiuwa CHADEMA kabla ya 2015, Pamoja na mbinu za kutumia vyombo vya ulinzi na usalama wanasiasa waliokatika mkakati huo ni Zitto Kabwe,John Shibuda, Joseph Mbatia, Hamadi Rashidi,John Cheyo na Lyatonga Mzee wa Kiraracha.

Funguka zaidi, nani Kiongozi wao ? maana wanatoka vyama tofauti tofauti. Sio rahisi wakubaliene kufanya jukumu hilo bila kuwepo mmoja nayefaidika !!!!
 
Ongeza na jina lako mtoa mada maana we naona umetumiwa kabla ya 2015.
 
Joseph Mbatia ndio mwanasiasa gani? Maana ninayemfahamu mimi ni James Mbatia.
 
Zito kabwe mtoe hapo hayupo kwenye iyo list naona wewe umetumwa ili uje kumchafua na mpango wako umefeli
 
Kwa hiyo fikra za ukombozi kwa wanachi zitakufa mioyoni mwao au wataua baadhi ya watendaji wa CDM. Kaa chonjo CDM ni zaidi ya watu uwajuawo ni ideology ambayo watu wameshaikita mioyoni mwao.
 
Back
Top Bottom