Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna taarifa za kuaminika kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hakuhudhuria vikao vitatu mfululizo vya Baraza la Mawaziri na hivyo kitendo cha kiti chake kutanda utando wa buibui...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sasa ni dhahiri kuwa huyu kijana anakoelekea ni pabaya kwani mbali na kuwakosanisha vijana ndani ya CHADEMA na wengine kunukuliwa visivyo na magazeti sasa imenipelekea kufuatilia anuani yake ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkae mtulie kwa upendo na heshima. Muongee kwa staha na kwa kujenga hoja.Mheshimiane nyinyi kwa nyinyi.Tumieni Katiba yenu kumaliza hoja yoyote itakayoletwa mezani. Msikubali kupambanishwa na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuendelea kwa serikali ya CCM kuwatisha waislam kuwa watachukuliwa hatua kali endapo hawatashiriki sensa,rejea kauli ya mwanasheria wa sensa na JK. Pia kwa tabia wanayoionesha kutokuwaheshimu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wana jf,nakumbuka wakati wa vuguvugu la wafanyakazi wa serikalini kutangaza mgomo wengi mtakumbuka kauli ya mkuu wa nchi aliposema,'mie ndiye mwajiri mkuu kwa upande wa watumishi wa umma,mkimfuata...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kama mlifikiri mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ana nia na uraisi...,basi hilo ni changa la macho hasa kwa wananchi wa mkoa wa kigoma mnaodanganywa na kuingizwa mjini na mh.Zitto kwamba eti mtatoa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kakobe aishukuru TANESCO na Betty Kangonga Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBC), Zachary Kakobe, amemshukuru aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Inabidi kuitisha maandamano kwa wafanyakazi wote kupinga hili na hili linawezekana liko ndani ya uwezo wetu kwani lazima lifutwe. watanzania hili linawezekana kwani nani hatatupiga mabomu hakuna...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi wabunge hawa wafuatao walichaguliwa na nani? walijichagua wenyewe au walichaguliwa na wananchi? MWIGURU,LUSINDE,WASIRA, E.S MANYANYA na JOHN SHIBUDA....hakika hawa si wabunge wala si...
5 Reactions
131 Replies
11K Views
Toka asimamishwe ubunge wa Arusha mjini, Godbless Lema amekuwa akifanya harakati kubwa sana za kisiasa dhidi ya CCM, akipita kijiji kwa kijiji akitumia uwezo wake wa kuzungumza kwa ujasiri na hoja...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Balozi za nchi hizo tajwa zimetoa ofa nono kwa madoctor woote waliofutiwa lesseni na wizara ya afya na TZ kwa ngazi zoote kuanzia seniors hadi intern, Intern wataandikishwa kama intern pindi...
26 Reactions
345 Replies
28K Views
Mahoijiano ya Redio ya Ugerumani na Kamanda wa Jeshi la Polisi BONYEZA REDIO AUDIO | DW.DE Waumini wa Kiislamu mjini Zanzibar walikuwa wanaendesha dua ya kuwaombea waliopoteza maisha katika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sabah al kher wandugu! Swali kwa Thinkers ni Kwanini enzi zile Premier Lowassa ilikuja Zanzibar kila wiki hivi iwe kwa weekend kupumzika au kukagua na kusisitiza katika Development; kwa huyu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo hii ni karibu miezi miwili na nusu tangu makanisa yachomwe huko Zanzibar na 'watu wasiojulikana'. Na vile vile ni karibu wiki tatu tangu Dr Ulimboka akamatwe na 'watu wasiojulkana na kupigwa...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Kwa taarifa hizi za ajali za meli za mara kwa mara,kuna haja ya waziri wa uchukuzi kufanya ukaguzi wa meli ya MV VICTORIA kwani taarifa zilizopo meli hii ni ya mwaka 1960 kwa sasa imekuwa haishi...
0 Reactions
3 Replies
909 Views
23 JULY 2012 Na Benedict Kaguo, Dodoma MBUNGE wa Maswa Mashariki, mkoani Shinyanga, Bw. John Shibuda (CHADEMA), amesema nchi inaongozwa kwa misingi ya Mabepari na kusababisha Watanzania maskini...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Ashauri wizara ya utamaduni na michezo ifutwe ili tuokoe pesa zetu zisiliwe.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JUMANNE, JULAI 24, 2012 06:02 NA BAKARI KIMWANGA, DAR ES SALAAM *Yasema haikumsimamisha kazi bali ni bodi *Yasisitiza hakuna mgawo wa umeme nchini SERIKALI imesema haijahusika kwa namna moja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa miunombinu wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar awasilisha barua ya kujiuzulu kwa rais wa zanzibar kufuatia ajali ya meli ya skargit na rais amekubali na kumteua waziri mwingine bwana...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
:alien: Inasikitisha sna Wabunge wa Upinzani kutoongelea swala nyeti na la msingi kma hli la NSSF...! Sio bungeni sio mtaani wabunge wa upinzani hawajavalia njuga ishu hii na inanifanya...
0 Reactions
5 Replies
982 Views
Back
Top Bottom