Kwanini Anna Makinda alikwenda Zanzibar?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Anne Makinda alisafiri akiwa amevaa vazi la kiislamu kuelekea Zanzibar, lakini ukiangalia kwa undani sana hiyo safari yake ilikuwa na mambo mengi,Baada ya kukataa kuhairisha bunge wakati meli inazama na kulazimishwa kufanya vile haikuwa mwisha wa story nzima
vikao viliendelea baada ya kuonekana kama bunge la watanganyika linadharau raia wa zanzibar hasa ikizingatiwa kuna matatizo zanzibar.

Kwa mara ya kwanza Anne Makinda alivalishwa hijabu wakati yeye binafsi ni mkristo, tunaona jinsi mambo yanavyoendeshwa ndani ya serikali kwa kubahatisha na inaonekana dhairi hii serikali ni dhaifu mno na inaendeshwa kwa hofu kubwa.

Inawezekana wanarekebisha mambo haraka kila mtu na idara yake ili mwisho wa siku asije tupiwa lawama kuwa yeye ndiye chanzo cha chama chao kushindwa.

Lakini sidhani kama ni idea nzuri kuendesha nchi kwa woga,kuna haja ya kukaa na kutafakazi tutapaje watu wa kusaidia kuongoza nchi yetu kwa kujiamini.

Confidence inasababisha mwenye nayo kufanya kazi zake kwa uhakika, waoga wanakimbia hata wasipokimbizwa!
 
mnafki sana huyu mama kwani kwanza anonea sana wabunge wa chadema kwa kukatiza hotuba ya wapinzani na kudharau hoja za wapinzani
 
kumbe tatizo ni kuvaa kwake hijabu ??? ... tehetehetehe! .. anaenda katika nchi ya watu wastaarabu na wenye tamaduni na mila za kiislam isitoshe ni mwezi mtukufu! acha ajistiri mama wa watu au hujui kwamba hijabu ni stara kwa mwanamke..?
 
Aligundua makosa yake akaamua kuyarekebisha.Kuvaa hjab si kosa kwani haijaandkwa kwamba wanaotakiwa kuvaa hjab ni waislam pekee
 
mkuu ustaarabu uko wapi na watu wanatembea na ngazi za kupigia chabo??teheheteheheeeeeeeeeee
 
kagundu alipojikwaa, akarekebisha.
yeye ni binadam, ana haki ya kukosea.
 
Aligundua makosa yake akaamua kuyarekebisha.Kuvaa hjab si kosa kwani haijaandkwa kwamba wanaotakiwa kuvaa hjab ni waislam pekee

naomba kujua kama ni lazima viongozi wafanye makosa hadharani,kwani washauri wao kazi yao nini??ni kuzuia makosa kufanya hadharani,sasa kama wanashindwa kushauri kabla ya makosa tusemeje?
 
TAKBIRRRRRRR! TAKIBIRRRRRRRRRRRR!

IMG+5830.jpg
 
kumbe tatizo ni kuvaa kwake hijabu ??? ... tehetehetehe! .. anaenda katika nchi ya watu wastaarabu na wenye tamaduni na mila za kiislam isitoshe ni mwezi mtukufu! acha ajistiri mama wa watu au hujui kwamba hijabu ni stara kwa mwanamke..?
Hamna mtu wa kumtamani huyo kikongwe hata akipiga mini watu watamuona Kama bibi tuu
 
kagundu alipojikwaa, akarekebisha.
yeye ni binadam, ana haki ya kukosea.

Hakuna mwenye haki ya kukosea ndiyo maana tukaweka mahakama na vyombo vya dola ili ukikosea upewe stahiki yako. Ukipatia unasonga mbele hakuna mahakama ya kuhukumu mtu kutofanya makosa MTZ mwenzangu.
 
Uko sawa mkuu, ila inategemea na kosa lenyewe.
By the way, kila mtu anakosea, no one is perect.
 
Anne Makinda alisafiri akiwa amevaa vazi la kiislamu kuelekea Zanzibar, lakini ukiangalia kwa undani sana hiyo safari yake ilikuwa na mambo mengi,Baada ya kukataa kuhairisha bunge wakati meli inazama na kulazimishwa kufanya vile haikuwa mwisha wa story nzima
vikao viliendelea baada ya kuonekana kama bunge la watanganyika linadharau raia wa zanzibar hasa ikizingatiwa kuna matatizo zanzibar.:A S-baby:
Kwa mara ya kwanza Anne Makinda alivalishwa hijabu wakati yeye binafsi ni mkristo, tunaona jinsi mambo yanavyoendeshwa ndani ya serikali kwa kubahatisha na inaonekana dhairi hii serikali ni dhaifu mno na inaendeshwa kwa hofu kubwa.

Inawezekana wanarekebisha mambo haraka kila mtu na idara yake ili mwisho wa siku asije tupiwa lawama kuwa yeye ndiye chanzo cha chama chao kushindwa.

Lakini sidhani kama ni idea nzuri kuendesha nchi kwa woga,kuna haja ya kukaa na kutafakazi tutapaje watu wa kusaidia kuongoza nchi yetu kwa kujiamini.

Confidence inasababisha mwenye nayo kufanya kazi zake kwa uhakika, waoga wanakimbia hata wasipokimbizwa!
Nice post but hapo kwenye suala la HIJAB UMECHEMKA...hijab ni vazi ambalo mtu yeyote mwenye nia ya kustiri na kuheshimu maungo yake(mwanamke) anaweza kuvaaa..hebu ondoa hiyo mbegu ya udini ili kitu yako ieleweke vizuri...kuvaa hijabu siyo ishu sababu ya msingi itakayo muingia mtu reasonable kama mimi.
 
Back
Top Bottom