Kuelekea 2015 chagua usafiri wako

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
[h=6][/h]

Tukiwa katika mikakati mizito tukilenga matakwa yetu yatimie 2015 basi ni muda muafaka wa kukata tiketi yako mapema na kuchagua usafiri wa kuingia nao 2015.
 
Hilo bus la juu ndio usafiri wangu,
hilo la chini ni la rafiki yangu Zomba,huwa najiuliza sijui analipendea nini?engine kimeo,siti za chuma break down ni za kufikia,dereva na konda ni wezi hawafikishi mapato kwa mwenye gari,yaani ni balaa tupu.
 
Ha ha ha ha ha ha....mna masihara nyie. Sijajua la kupanda, ila la ccm sifikiriiikabisaaa!!!!!
 
Ha hahahaha! I love this! Hyo kitu ya juu imetulia na inamvutia mteja. Haina haja ya kupiga debe. kitu ya chini naona mpiga debe analinadi, hapo kupata wateja kaaazi kweli kweli.
 
Ukipanda mkangafu huo lazima uchelewe kufikia malengo yako
 
Hilo mija lazima uvae plasta za kiuno kwanza ndio upande, maana utafika na tetanasi
 
Back
Top Bottom