Wiki hii huko Kigoma kukiwa na jopo la uongozi wa juu kitaifa wa CCM kuendesha mkutano kujaribu kufuta nyayo za Chadema, wakati huo huo kuna kikozi cha nguvu kazi ambacho ni kundi la Wabunge...
Jamani kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa serikali ilinunua ile meli iliyoua watu wikiliyopita toka kwenye mnada wa internet wa e-bay
je kuna ukweli kwenye hili au nimechanganya mambo?
Kwa siku hizi za karibuni uchangiaji wa hoja jukwaa hili kutoka wapenzi na wanachama wa CDM kidogo umesuasua. Hii inaonesha hali sio nzuri CDM. Daktari Kitila Mkumbo hata na Zitto naona wameiga...
hawa jamaa si wanataka kuhodhi hela sio zao.dawa yao unasingizia kufa kama umeachishwa kazi na mrithi wife anavuta hela tuone na ujanja wao wa kudhulumu utafikia wapi. mwaga mboga mwaga mchele...
Huenda wewe kama mimi umeshajiuliza ni kwa nini mifuko hii ya hifadhi ya jamii inavyo kimbilia miradi ya ujenzi kwa miaka ya hivi karibuni. Kila mfuko unakimbilia kujenga majengo ya vioo.
Miradi...
Baada ya kutokea ajali ya meli ya mv. Skagit kuzama, Mwakyembe alinukuliwa akisema kujiuzulu si suluhisho la kila matatizo. Hata hivyo namshukuru waziri mwenye dhamana huku Zanzibar kuamua...
Ndugu zangu kumekuwa na habari za upotoshwaji pengine makusudi au kutokujua!
Tangu jana kuna thread hapa ina tiririka ikisema TETESI: Lowassa Hoi
Lakini leo kwa macho yangu ya nyama na...
Tue, Jul 24th, 2012
Tanzania |
The government has ruled out power rationing, saying that strategies are in place to ensure that the nation does not go back to power crisis.
The Permanent...
Kwa wana Busega wapenda maendeleo/mabadiliko naomba sasa tuungane katika suala hili nyeti.Mimi nimeanza na kata yangu ya Nyaluhande nimefanikiwa kufanya mkutano wa ndani kwanza then Jumamosi hii...
CCM- TOKA CHAMA CHA UMMA MPAKA CHAMA CHA WENYEWE.
SAFARI YA CHAMA CHANGU CCM TOKA TANU MPAKA SASA.
KWA WALE TULIOZALIWA ENZI HIZO TUMEYAPITIA HATUA NYINGI ZA KIMABADILIKO KWA TANU NA CCM...
Mheshimiwa Spika.
Pole kwa majukumu mazito!
Kiini cha tatizo la utoro, na suhisho, ila ufanye kwa data/takwimu ambazo unazo kwenye taasisi yako.
->Ukiangalia statistics zako za mahudhurio ya...
Serikali yetu na wananchi wa Tanzania wananishangaza sana maana wanataka serikali ifanye vitu vingi zaidi na wakati huohuo hawatoi mawazo ni jinsi gani ya kupunguza serikali.
Serikali inatakiwa...
Katika barua yake kwenda kwa mhariri mtendaji mkuu wa Mwananchi. Hii ni sehemu ya waraka huo wa Nassari.
Nukuu hiyo si ya kweli. Nimesikitishwa sana na upotoshaji mkubwa wa kunilisha maneno...
ni habari nzuri kwa kila mwanaccm maana huyo ndiye atakeyeweza kuipeleka mbele ccm, ni msomi ana uzoefu, hana makundi hana udini,, sio mswahiliswahili na historia inaonyesha wizara zote...
Naipongeza hatua ya waziri wa mawasiliano na uchukuzi wa Zanzibar Kujiuzulu na kuwajibika kwa yaliyotokea kwa hili ni shujaa kwani kwa serikali yetu kitendo hiki ni nadra kutokea katika utawala...
Stay Connected
/ Tuesday, July 24, 2011
Deputy Speaker Job Ndugai had to adjourn Parliament due to the lack of a quorum because over 70 per cent of the MPs were absent on Saturday. The...
NA THOBIAS MWANAKATWE
24th July 2012
Wakati serikali ikiwa imekwishatenga Sh. trilioni 11.6 kwa ajili ya ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es salaam, Diwani wa Kata ya Vijiweni...
chama cha wanainchi CUF kinatarajiwa kuzindua operation mchakamchaka mpaka 2015 ambayo haitakoma mpaka uchaguzi wa 2015 ambapo uzinduzi wake utazinduliwa katika viwanja vya jangwani mwanzo mwa...
Mh. Zitto mnamo 27th November 2010 15:10 ulituandikia haya:
Zitto
Mwaka 2010 - 2011 nimeamua kujikita kwenye Rural Growth, Gas and Petroleum sub-sectors and Leadership Ethics. Rural growth kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.