Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

GreatThinkers, Kwa mujibu wa duru za uhakika, wataalamu wengi wazalendo wameendelea kuacha kazi migodini hii inatokana na sera chafu za Unyang'anyi za serikali ya CCM kuwa hakuna kuchukua NSSF...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hayo ya Ben Saanane kupandikiza ni uongo ''uchaguzi wa uvccm umeanza kwa kuingiliwa na vyama nje ya ccm huku baadhi ya wanasiasa nje ya umoja wa vijana kupanga safu yao.ridhiwani anatuhumiwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
kwa muda mrefu sana watanzania tumekuwa na utamaduni wa kuwapigia kura wagombea ambao huongozana na wasanii katika kampeni zao...tumepigia kura burudani za TOT chini ya komba na khadija kopa, TMK...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
BAADHI ya watu watakuwa wamepongeza uteuzi wa Arther Mwambene, kuwa mkurugenzi wa MAELEZO kwa kuzingatia kuwa ni kijana na labda ataleta mabadiliko fulani kwenye tasnia ya habari. Lakini nataka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mbunge amlipua mfanyabiashara kuwa ni jasusi Monday, 18 June 2012 21:02 Neville Meena, Dodoma Mwananchi MBUNGE wa Wawi (CUF), Hamad Rashid Mohamed jana aliilipua...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Maamuzi ya Mhakama juu ya mgomo wa waalimu una ishara mbili. Kwanza ni upuuzi wa mahakama zetu pili ni somo kwenu waalimu jinsi munavyotumika ktk siasa na baadaye kudhalaulika. Mahakama iliwahi...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Iv hili swala la kutofautiana mishahara na posho za lishe kati ya JWTZ na POLISI, Mh wazir wa mambo ya ndani anasema lisizungumzwe kwa uchonganishi wakati watu hawa wana vyeo sawa na cv sawa. mimi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Profesa Peter Msolla akikagua gwaride la watoto walioachishwa masome kwa takribani mwezi mzima kujiandaa ujio wa mjumbe huyo. swali langu kwa wana-JF je...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wazri wa ushirikiano wa afrika mashariki bwana Samweli Sitta, ametoa angalizo leo bungeni kwa wanawake wa kitanzania kuwa makini na wanaume kutoka nje ya nchi wanaotaka kufunga nao ndoa, kwani...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
IJUMAA, AGOSTI 03, 2012 05:13 NA MAREGESI PAUL, DODOMA MBUNGE wa Ole, Rajab Mbarouk (CUF), amesema kuna meli ya mizigo imebadilishwa na kuanza kusafirisha abiria katika Ziwa Victoria. Kutokana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kutoa motisha kwa watumishi wa wizara ya afrika mashariki ni busara sana, Lakini mdogo wako kikwete hatambui umuhimu huo, anawanyayasa waalimu, madaktari, wazee wa afrika mashariki na wengine...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
MAMA SALMA TUKUMBUKE WENZIO Kwako Mama Kikwete, Saalam, Pole kwa majukumu mengi uliyonayo mimi binafsi nakutakia mfungo mwema wa Ramadhan na nina imani mwezi huu utakua na manufaa mengi kwako...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Mh. Dr. Harison Mwakyembe ametoa tamko kuwa sasa hivi gari lolote la abiria litakalo onekana limesimama njiani kwa ajili ya abilia wake kuchimba dawa (kujisadia) litachukuliwa hatua za kisheria.
1 Reactions
161 Replies
15K Views
Wana JF kuna tetesi kuwa wabunge watajadili kuhusu sheria ya mifuko ya jamii kesho. please mwenye kujua ni lini watajadili tujuze
0 Reactions
10 Replies
1K Views
katika kile kinachoonyesha nchi inaelekea kuzimu , viongozi wa uvcc- tmk wateka list ya watu walioomba kazi ya sensa ili waingize watu wao. Wahusika wanawaogopa vijana hao hivyo wameamua kuingiza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sina shaka kuwa iko siku serikali itakumbana na mbinu mpya za namna watumishi wake watavyodai haki zao. Baada ya migomo ya watumishi kuishia mikononi mwa mahakama kuu ya kazi kila mara na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kazi ya mabunge yote duniani kote ni kuisimamia serikali ktk shughuli zote za kila siku,inachukuliwa kuwa bunge ni chombo kitukufu kinachowaleta pamoja wananchi ktk kujadili mambo nyeti ya kitaifa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wafanyakazi pamoja na Familia zao wameamua kugomea sensa. Serikali inatakiwa itoe suluhisho la mafao haraka kabla tarehe ya SENSA. SOURCE: RADIO ONE HABARI
3 Reactions
98 Replies
8K Views
Mbunge wa kigoma kaskazini Mh.zitto amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa kupitia malipo yasiyohalali ya TANESCO NA SYMBION. TANSECO wanailipa kila siku SYMBION million 152 na katika kila sh.100...
9 Reactions
152 Replies
13K Views
IJUMAA, AGOSTI 03, 2012 05:17 NA MAREGESI PAUL, DODOMA *Aunda kamati ya wabunge watano kuchunguza ufisadi *Waziri Muhongo, Tundu Lissu kutoa ushahidi wao BUNGE limeunda kamati ndogo kwa ajili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom