Uvccm wateka kazi ya sensa tmk.

omusimba

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
310
76
katika kile kinachoonyesha nchi inaelekea kuzimu , viongozi wa uvcc- tmk wateka list ya watu walioomba kazi ya sensa ili waingize watu wao. Wahusika wanawaogopa vijana hao hivyo wameamua kuingiza wana uvccm na kuwafuta walimu na wana-vyuo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom