Sitta: Wanawake wa kitanzania wanaolewa kwa ajili ya ardhi Afrika Mashariki

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Wazri wa ushirikiano wa afrika mashariki bwana Samweli Sitta, ametoa angalizo leo bungeni kwa wanawake wa kitanzania kuwa makini na wanaume kutoka nje ya nchi wanaotaka kufunga nao ndoa, kwani inaonekana wanaolewa sio kwa mapenzi ila ni ili wale wanaowaoa wapate haki ya kumiliki ardhi hapa nchini. Hii ni kutokana na uhaba wa ardhi kwenye nchi zao. Amesema ndoa hizo huwa haziduma kwahiyo lengo la waowaji inaonekana ni kupata ardhi kupitia mgongo wa ndoa na wanawake wa kitanzania. Na mbaya zaidi hio ndoa ikivunjika huyu mgeni ndio hubaki na hio ardhi.
 
Mbona kachelewa sana kulitamka? ni mpango wa siku nyingi sana huuu, na serikal;i ya kenya inaudhamini, kijana akitaka kuoa Tanzania, anapesa support kubwa sana
 
Wazri wa ushirikiano wa afrika mashariki bwana Samweli Sitta, ametoa angalizo leo bungeni kwa wanawake wa kitanzania kuwa makini na wanaume kutoka nje ya nchi wanaotaka kufunga nao ndoa, kwani inaonekana wanaolewa sio kwa mapenzi ila ni ili wale wanaowaoa wapate haki ya kumiliki ardhi hapa nchini.Hii ni kutokana na uhaba wa ardhi kwenye nchi zao.Amesema ndoa hizo huwa haziduma kwahiyo lengo la waowaji inaonekana ni kupata ardhi kupitia mgongo wa ndoa na wanawake wa kitanzania.

This fellah is naive!! Yaani anataka kutuambia wadada wetu wakatae kuolewa to serve the government's ass!!

They should go further on this, have the proper policies to combat such a scenario!! Wanasiasa wameamua kulaza vichwa vyao, wanataka kulala usingizi wa pono!!!!

My foot...
 
Kama wameliona hilo, wenyewe kama serikali wamejipangaje? Wanawake hawawezi kukataa kuolewa kisiasa tu, isitoshe wanawake wangapi wana uelewa huo? Na je wizara inampango gani kuwaelimisha athari zake?
 
..kwani ukioa Mtanzania uraia unakuja na cheti cha ndoa??

..waziri apendekeze mabadiliko ya sheria ambapo mtu akioa/kuolewa na Mtanzania basi imchukue miaka 10 mpaka 15 kupata uraia.

..katika kipindi chote cha mpito asiruhusiwe kumiliki ardhi, ila kupitia kwa mkewe/mumewe. zaidi ardhi isiwe mali inayoweza kugawanyika ikiwa wahusika watatalikiana. Yaani kama umeoa/kuolewa na Mtanzania mkiachana ardhi inabaki kwa Mtanzania.

..sasa mtu akivumilia miaka yote hiyo, basi huyo kwa kweli anastahili ardhi yetu.
 
Wazri wa ushirikiano wa afrika mashariki bwana Samweli Sitta, ametoa angalizo leo bungeni kwa wanawake wa kitanzania kuwa makini na wanaume kutoka nje ya nchi wanaotaka kufunga nao ndoa, kwani inaonekana wanaolewa sio kwa mapenzi ila ni ili wale wanaowaoa wapate haki ya kumiliki ardhi hapa nchini.Hii ni kutokana na uhaba wa ardhi kwenye nchi zao.Amesema ndoa hizo huwa haziduma kwahiyo lengo la waowaji inaonekana ni kupata ardhi kupitia mgongo wa ndoa na wanawake wa kitanzania.

ah,ina maana hawa wazungu wanaopewa ARDHI BWERERE WAMEFUNGA NDOA NA NANI????
 
Duh,

Wabongo tuna ndoa za kutafuta makaratasi ya bongo? Hatujachacha.

On the real, utajuaje haya mapenzi ya kweli na haya ni ya makaratasi?

Mie mbona nina ndugu wameoana na Wakenya miaka miingi sana iliyopita, hapo vipi? Mstari tunapiga wapi?
 
This fellah is naive!! Yaani anataka kutuambia wadada wetu wakatae kuolewa to serve the government's ass!!

They should go further on this, have the proper policies to combat such a scenario!! Wanasiasa wameamua kulaza vichwa vyao, wanataka kulala usingizi wa pono!!!!

My foot...
Six ni janga jingine la kitaifa..
 
..kwani ukioa Mtanzania uraia unakuja na cheti cha ndoa??

..waziri apendekeze mabadiliko ya sheria ambapo mtu akioa/kuolewa na Mtanzania basi imchukue miaka 10 mpaka 15 kupata uraia.

..katika kipindi chote cha mpito asiruhusiwe kumiliki ardhi, ila kupitia kwa mkewe/mumewe. zaidi ardhi isiwe mali inayoweza kugawanyika ikiwa wahusika watatalikiana. Yaani kama umeoa/kuolewa na Mtanzania mkiachana ardhi inabaki kwa Mtanzania.

..sasa mtu akivumilia miaka yote hiyo, basi huyo kwa kweli anastahili ardhi yetu.

jaman hawa makaburu wanaoitumia ardhi yetu nao wameoana na nani???MBONA SIJIBIWI JAMANI???????????????
 
Sheria ya ardhi ni dhaifu, mtu binafsi mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi lakini kampuni ya kigeni inaruhusiwa, kwa hiyo wageni wanachofanya wanasajili kampuni uchwala kama investor at the end of the day wanatumia loop hole hiyo kujitwalia ardhi ya wadanganyika. 6 kama anaangalia mambo ya chumbani tu namshauri aangalie kwa mapana zaidi mpaka vichakani.
 
Pendekezo lako ni zuri sana, linastahili kufanyiwa kazi.

..kwani ukioa Mtanzania uraia unakuja na cheti cha ndoa??

..waziri apendekeze mabadiliko ya sheria ambapo mtu akioa/kuolewa na Mtanzania basi imchukue miaka 10 mpaka 15 kupata uraia.

..katika kipindi chote cha mpito asiruhusiwe kumiliki ardhi, ila kupitia kwa mkewe/mumewe. zaidi ardhi isiwe mali inayoweza kugawanyika ikiwa wahusika watatalikiana. Yaani kama umeoa/kuolewa na Mtanzania mkiachana ardhi inabaki kwa Mtanzania.

..sasa mtu akivumilia miaka yote hiyo, basi huyo kwa kweli anastahili ardhi yetu.
 
kwa mara ya kwanza nilishuhudia mzungu anaongeza mke wa pili wa kitanzania (wa kwanza alikuwa asian), kumbe nia ilikuwa ni ardhi
 
Sijui na watu wa nchi nyingine (e.g Wamarekani) wakisema Watanzania tusimiliki ardhi kwao itakuwaje kwa Watanzania.

Tutatafuta mchawi sana kwa watu wa nje, at the end of the day kama hatuifanyii kazi hiyo ardhi tutakuwa kama joka la mdimu.

Tunachohitaji kufanya ni kuitumia ardhi sufficiently. Sio kukazania kuzibia wageni kwa mtindo wa mtego wa panya.
 
Wazri wa ushirikiano wa afrika mashariki bwana Samweli Sitta, ametoa angalizo leo bungeni kwa wanawake wa kitanzania kuwa makini na wanaume kutoka nje ya nchi wanaotaka kufunga nao ndoa, kwani inaonekana wanaolewa sio kwa mapenzi ila ni ili wale wanaowaoa wapate haki ya kumiliki ardhi hapa nchini. Hii ni kutokana na uhaba wa ardhi kwenye nchi zao. Amesema ndoa hizo huwa haziduma kwahiyo lengo la waowaji inaonekana ni kupata ardhi kupitia mgongo wa ndoa na wanawake wa kitanzania. Na mbaya zaidi hio ndoa ikivunjika huyu mgeni ndio hubaki na hio ardhi.
ni bora hawa wanawake waoane na majirani zetu kwani hata sasa hiyo ardhi wanaoifaidi ni jamii ya akina "sitta". sasa si bora wanawake watapata wanaume kwa gharama ya ardhi kuliko sasa hawaolewi na ardhi hawana
 
hivi kumbe???

Ngoja nikammwage baba watoto, tena ni mkei kabisa, nimekula yamini kulinda ardhi ya tz maana sirikali imeshindwa.

Hana tofauti na sofia aliyesema wanawake wawanyine uhausi wababa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom