CCM waacheni watoto wetu wasome... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM waacheni watoto wetu wasome...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, Aug 3, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  chipukizi.jpg Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Profesa Peter Msolla akikagua gwaride la watoto walioachishwa masome kwa takribani mwezi mzima kujiandaa ujio wa mjumbe huyo. swali langu kwa wana-JF je chadema, CUF, UDP,NCCR Manunuzi, Sau nk nao wana ruhusiwa kuwatumikisha watoto wadogo namna hii kwenye maswala ya kisiasa.
   
 2. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,898
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  wazazi wanaoruhusu watoto wao kulipokea hilo galasa ndio wana mtindio wa akili..
   
 3. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Poleni watoto
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  mapenzi hayalazimishwi. ccm wanalazimisha watu kuwapenda.
   
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Na hawa wakikuwa tu na kujitambua wanawageuka !
   
 6. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Msiumize vichwa hata sisi hao Chipukizi tunao!
  [​IMG]
   
 7. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu hao inaonekana ni familia tofauti kabisa na mada ambao kimsingi waliacha masomo yao kwa muda mrefu kila siku wakijiandaa kumpokea mjumbe huyo wa CCM.. mjumbe wa kamati kuu ya CHadema anaweza kufanya haya kwenye shule yoyote ya msingi, je kisho yake hatuta sikia matamko makali kutka kwenye serikali, mbona haya wameyazuia hata kwenye vyuo ambao ni watu wazima...
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ukiwaangalia hapo unaona watoto wame vaa sare za shuleni kabisa....
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hivi unajua kua vijiji mwalimu mkuu ni mtu mkubwa sana, akisema kesho wanafunzi wote mje na sado ya mahindi wazazi watatii.. sasa hapa mwalimu mkuu aliamulishwa na akina Nape akikataa ajira ataikosa utafikiri shule ya baba yao.
   
 10. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maarifa ndio chakula cha akili...
   
Loading...