Suala la Mafao, mambo yamekuwa mazito. Wafanyakazi wameamua kususia sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suala la Mafao, mambo yamekuwa mazito. Wafanyakazi wameamua kususia sensa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Jul 29, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,402
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 280
  Wafanyakazi pamoja na Familia zao wameamua kugomea sensa.

  Serikali inatakiwa itoe suluhisho la mafao haraka kabla tarehe ya SENSA.

  SOURCE: RADIO ONE HABARI
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,059
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  JK uliambiwa nchi haitatawalika ukawa unacheka cheka sasa kazi ndo imeanza ...ugali moto mchuzi moto...
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,913
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Nahisi kuna misscomunication baina ya wafanya kazi au hakuna umoja.
  laiti kungekuwa na umoja nasema hili swala leo tungekuwa tunadiscuss issues nyingine kabisa kwani lingeshatatuliwa kitaambo.
   
 4. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Naunga mkono Hoja kwa vitendo..
   
 5. tonnyalmeida

  tonnyalmeida JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkubwa Kigogo.. Haya JK anayataka mwenyewe, alikwenda akachukua Mipesa kibao kwenye hii mifuko ya Jamii kula starehe bila mipango saiz ameshindwa kulipa ANAKURUPUKA na suluhisho la KIPUU*Zi la kusaini sheria ya ajabu ajabu. Sasa hapa atalaumiwa nani? Na inakuwaje anahamishia wajibu na matatizo ya serikali yake kwa wananchi?
   
 6. C

  CDM Member

  #6
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Ndugu zangu wafanyakazi wote naomba tuungane kwa hili! huu ni uizi usio vumilika. Twapaswa kulipwa pesa zetu kwanza ndo tuanze maongezi kwa mkataba mwingine huu feki waliowapelekea mambumbu bungeni wakapiga makosi bila kuusoma.Naamini hapa tutakuwa pamoja dini na itikadi zote tulaani uonevu huu
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,808
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280

  hii serekali ya magamba ya ajabu sana.

  hivi ni nani alitoa hili wazo la 55? na kina nani walijadili mpaka wakaona kwamba lina mashiko? ndo maana mi nasemaga nchi hii inatawaliwa na genge la watu wasiozidi hata 20, tena wanashinda tu mtaa wa shaaban robert.
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,716
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  Mi kama mfanyakazi na ndugu zangu wanaonitegemea nishawaambia marufuku kuhesabiwa! Marufuku! Hii serikali ya kishenzi. Wapuuzi
   
 9. o

  opportunist2012 Member

  #9
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh!..hii ndiyo serikali ya CCM iliyoshindwa kukusanya mapato na hata mapato yaliyopatikana yanaishia matumboni mwa mafisadi...matokeo yake serikali inatolea macho pesa za wafanyakazi kwa kuwadhulumu.
   
 10. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,597
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono hoja, siku hiyo wakija tu nawatimua sitaki kuwaona mpaka nione mabadiliko ya hii sheria. Hili bonge ya idea hapa kikwete lazima ile kwake.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,213
  Trophy Points: 280
  Mkuu acha tu yani hicho kitambulisho cha taifa kisingekua cha kupigia kura nisingejiandikisha kabisa na hyo sensa lazima tuikwamishe coz haina manufaa yoyote inaharibu tu kodi zetu mie sitohesabiwa na sitaki kuhesabiwa waondoe ungese wao kabisa tena akija mtu wakuhesabu sensor namkurupusha na bastola!
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  nitakuwa mmoja wawatakaogoma kuhesabiwa..
   
 13. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  u made my day!
   
 14. newMbishi

  newMbishi Senior Member

  #14
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  100% naomba watanzania tuwe tuapinga haya mambo ya kijinga ya hii serikali, imekua kawaida sasa serikali ikitumia pesa vibaya tunalipishwa sisi. TUGOME MAZIMA
   
 15. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  raisi anachekacheka tu anaposaini hizi sheria bila kujua madhara yake!

  SAY NO TO SENSA
   
 16. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 309
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi kama kuna mwana siasa anataka tumkumbuke achukue hili jukumu la kuongoza maandamano. Hii serikali ni kama komando yosso, wezi sana hawa wadudu.
   
 17. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,091
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  We need to think and do more than this,tuungane na wafanyakazi wa migodini kwani wao wametuonyesha njia
   
 18. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Mkuu hapo kwenye red ndipo panawafanya watawala kuchekelea kila kukicha. Na ndipo ile kanuni ya divide them and rule inapotumika.
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,153
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  jamani sisi wafanyakazi kugoma kuhesabiwa ndiyo basi..au kuna hatua inayofata hivi hatuna viongozi wa wafanyakazi mbona leo huko geita wameandamana viongozi wetu wako wapi? wanamsimamo gani
   
 20. K

  Kengedume Senior Member

  #20
  Jul 29, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naunga mkono 100% ujinga, upuuzi na udhifu wa magamba na serikali ya majuha. sihesabiwi ng'o!
   
Loading...