Zitto afichua ufisadi wa TANESCO na Symbion, kwa siku mil.152 zinapotea!

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
211142_423607097685099_1520489415_n.jpg

Mbunge wa kigoma kaskazini Mh.zitto amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa kupitia malipo yasiyohalali ya TANESCO NA SYMBION.
TANSECO wanailipa kila siku SYMBION million 152 na katika kila sh.100 zinzoingia Tanesco sh.86 inaelekwzwa kwenye malipo.

Amesisitiza kuwa hakuna utofauti wowote na kipindi kile cha RICHAMOND ambayo nayo ilikuwa inalipwa sh.million 152 kwa siku.

Mbunge amabye amejizolea umaarufu wa kuwa makini na mambo nyeti yanayogusa Taifa na wanyonge wa tanzania amesisitiza kuwa TANESCO na SYMBION wanafanyamadudu yaleyale ya RICHMOND kiasi kwamba TAIFA LKINAPOTEZA PESA NYINGI SANA.
Source :ITV
 
211142_423607097685099_1520489415_n.jpg

Mbunge wa kigoma kaskazini Mh.zitto amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa kupitia malipo yasiyohalali ya TANESCO NA SYMBION.
TANSECO wanailipa kila siku SYMBION million 152 na katika kila sh.100 zinzoingia Tanesco sh.86 inaelekwzwa kwenye malipo.
amesisitiza kuwa hakuna utofauti wowote na kipindi kile cha RICHAMOND ambayo nayo ilikuwa inalipwa sh.million 152 kwa siku.
Mbunge amabye amejizolea umaarufu wa kuwa makini na mambo nyeti yanayogusa Taifa na wanyonge wa tanzania amesisitiza kuwa TANESCO na SYMBION wanafanyamadudu yaleyale ya RICHMOND kiasi kwamba TAIFA LKINAPOTEZA PESA NYINGI SANA.
Source :ITV

Hasheem; alijua hayo toka lini?
 
akili yako imefikia hapo...kwani bunge lililopita alikuwa maechafuka?ya buzwagi? Na unaposema amechafuka unamaanisha kwamba...............???
usibishane nae. Zitto amechafuka kweli hasa kwenye swala la kupinga wabunge wasipokee posho hapo ndipo alipochafuka haswa haswa.
 
ameyajua hayo baada ya kupitia kwa makini biashara ya symbion na tanesco wiki hii
mpe mpe huyo ila usimtukane watakufungia bure mana kuna mtu nimemsikia anasema anasubiri useme vibaya tu upewe ban coz hoja zako hazijibiki
 
posts zote kwa siku moja? hehehehehe, hakyamungu ..haya mafisadi chipukizi kazi kwenu
 
akili yako imefikia hapo...kwani Bunge lililopita alikuwa maechafuka?ya Buzwagi? na unaposema amechafuka unamaanisha kwamba...............???

Ninamaanisha ukiwa umechafuka tafuta sabuni ya maana ujisafishe. Sasa kwa Zitto kaona JF ni sehemu muafaka wa yeye kujisafisha. Never use Sulphuric Acid.
 
Du hapo ZZK angenyamaza tu kwani Kamati yake wameshainusa na kuinyemelea kina Mbatia km kweli, pia kwanini asiseme siku zote wakina Nassary, Selasini, Lissu wataibua mengine, kwani nao wanataka wakayasikie manguzo ya umeme yanayotoka South Africa mchuzi wake ukoje
 
Ninamaanisha ukiwa umechafuka tafuta sabuni ya maana ujisafishe. Sasa kwa Zitto kaona JF ni sehemu muafaka wa yeye kujisafisha. Never use Sulphuric Acid.
jf ni media ua hujui..hii taarifa imesambaa media zote so dont limit ur mind,jishughulishe
 
nawashangaa sana watu wanaomponda Zitto wakati ni mmoja wa viongozi aliyechangia umaarufu wa CDM kwa kufichua maovu mbalimbali hii inanifanya niamini kuwa wengi wa watu wanaojifanya wazalendo humu JF hawana lolote zaidi ya chuki binafsi na majungu
 
Back
Top Bottom