Bajeti ya wizara ya mambo ya ndani imepita kwa shingo upande kwa askari polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti ya wizara ya mambo ya ndani imepita kwa shingo upande kwa askari polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Same ORG, Aug 3, 2012.

 1. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iv hili swala la kutofautiana mishahara na posho za lishe kati ya JWTZ na POLISI, Mh wazir wa mambo ya ndani anasema lisizungumzwe kwa uchonganishi wakati watu hawa wana vyeo sawa na cv sawa. mimi ningeowaomc wanajf tumsaidie wazir wa mambo ya ndani kulijadili ili polis nao waweze kujikimu wapunguze rushwa
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Polisi na JWTZ ni vitu viwili tofauti.
  Na ndio maana ni rahisi sana kuwatumia polisi kwa faida za kisiasa za watu wachache lakini ni ngumu sana kuwatumia JWTZ.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mapolisi wanavyochukua rushwa na kututesa huku mitaani hata hatuwasupport...wasiongezewe wabakie hivyo hivyo mpaka watakavyojifunza kuheshimu haki za wananchi
   
 4. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,759
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mi nilidhania labda polisi wenyewe wanakula raha na watawala ndio maana wanatumika kunyamazisha wengine? Kama wanaminywa na wenyewe basi ndio sawa, wanajifanya ndio serikali. Wakome!
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,837
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Wanyimwe tu posho hawana maana acha waishi kwa rushwa na kulala vibanda vibovu au wazidi kuomba posho toka CCM
   
 6. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,877
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Tena hawa POLISI wangenyang'anywa hata hiyo POSHO kidogo waliyonayo, maana yamekuwa ni MA-ROBOT na sio POLISI wanaotumia AKILI.

  Kila siku kutesa watu kama Dr. Ulimboka, kukamata viongozi wa UPINZANI na kuzuia MIKUTANO ya vyama vya upinzani.
   
 7. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,664
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  kotoka moyoni mwangu polisi siwapendi siwapende,ila kunahaja ya kuwasamehe shule yao ni ndogo hata uelewa wao ni mdogo sana! Hawajamaa niwamekariri hata mjibu ya kuwajibu watu wanaotaka huduma kwao.
   
 8. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kazi imelaaniwa, tuwe makini wanajf wenzangu na tukumbushane mtu kwa mtu.
   
 9. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 7,534
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Polisi hawalipwi sawa na jwtz pamoja na kwamba wote wanapigana vita pamoja kwa sababu serekali inajuwa kuwa polisi atajazilizia kutoka kwa mwananchi.
   
 10. m

  mwitu JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 858
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  polisi ccm
   
 11. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 7,534
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  kotoka,niwamekariri,mjibu. ndio nini?.au ndio walewale?.
   
Loading...