Wabunge kujadili NSSF kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge kujadili NSSF kesho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by magwanda, Aug 3, 2012.

 1. m

  magwanda Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF kuna tetesi kuwa wabunge watajadili kuhusu sheria ya mifuko ya jamii kesho. please mwenye kujua ni lini watajadili tujuze
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kwa nini usithibitishe hiyo tetesi kutoka katika hicho chanzo chako?
   
 3. M

  Millanzi D New Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha kujadili, nimemsikia naibu anasema wamalize jioni swala la Africa Mashariki na kesho wapumzike.
  Nashangaa kwa nini mwongozo wa Mnyika wasijadili kesho. hili taifa linaenda wapi?
   
 4. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  wajadili kwani linawaadhiri?pia halina maslahi kwao.
   
 5. ndiyomkuusana

  ndiyomkuusana JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 627
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  ukandamizaji...unaendelea..TZ
   
 6. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Kama watajadili tunawatakia kila la heri na tuna mashaka na umakini wao kwa kuwa walipitisha bila kujua
  athari kwa wapiga kura wao.
   
 7. K

  Kalimanzira Senior Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 15, 2007
  Messages: 100
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hiyo kesho unayosema ni ipi? ................. J'mosi?
   
 8. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,736
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Wapumzike kwa kazi gani?? au wanataka siku zindelee kuongezeka na posho nayo iongezeke.. hawajui hizo ni kodi zetu wanaendelea kutafuna huku sisi tunataabika.
   
 9. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante bunge kwa ukomavu mjadili la nini halina tija hilo kwa CCM
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,760
  Likes Received: 83,064
  Trophy Points: 280
  Mjadala wao sijui kama utakuwa na tija yoyote maana Serikali imeshatafuna pesa zote za Wafanyakazi na kama alivyosema CAG NSSF inakaribia kufilisika....Na "serikali haina uwezo" wa kurudisha mabilioni ya pesa za Wafanyakazi ilizozikopa toka NSSF.
   
 11. a

  adolay JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,595
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280

  Bila aibu wamekomba hazina nyeupe, sasa wamegeukia mafao yetu kwa kutulazimisha miaka 55 kwa faida zao na familia zao.
   
Loading...