Hali ya nchi imekuwa tete,kila idara ya utumishi wa umma imeingia kwenye mgomo,kinacho lalamikiwa ni madai ya msingi ya haki za watumishi,alkini serikali inayachukulia madai haya kama kero na...
Alisema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo za CCM, Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam...
Mukama alisema: "Kuwa na makundi ni kitu cha kawaida lakini si la mtu fulani...
Jana trh 02/08/2012 SSRA walitoa tangazo kupitia gazeti la Daily news na website yao wakiuarifu umma kwamba fao la kujitoa limesitishwa kufuatia sheria iliyosainiwa na Rais mwezi June 2012. Kwa...
Shija Felician, Kahama | Mwananchi | Agosti 03, 2012
WAKATI sakata la kupinga sheria mpya ya mafao ya watumishi wanaoacha kazi katika sekta mbalimbali likizidi kushika kasi, Kampuni ya...
wana Jf leo tumehudhuria press Confress pale makao makuu ameongea na wana habari na amedai kuwa UVCCM yao imepoteza muelekeo na sasa inahitaji mabadiliko na hili hapa ni tamko lake nimelileta hapa...
Kuna taarifa zilioenea chini kwa chini kuwa Makamo wa Kwanza wa Raisi wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi ni mgonjwa.
Nashangaa tu habari hii imekuwa kama imefichwa sijaisikia kwenye magazeti...
HOTUBA YA KAMBI YA UPINZANI IMEJAA MAPENDEKEZO KUHUSU SHIRIKISHO NA KUWADANGANYA WATANZANIA KWAMBA WAPINZANI HAWANA WAPENDEKEZO.
HAYA NI MAPENDEKEZO YA KAMBI YA UPINZANI YALIYOMO NDANI YA HOTUBA...
Katika hali isiyotarajiwa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL) lenye ndege aina ya Boeing 735 lililokuwa linafanya safari kati ya Dar-Mwanza via K'njaro na Dar-Hahaya(Comoro) limesitisha safari zake...
Nikimsikiliza waziri wa A. mashariki akiwasilisha budget yake mara akakaribishwa mkiti wa mambo ya nje ulinzi na usalama atoe maoni ya kamati mara ex ngeleja wakafanya vitu vyao. Kimsingi nilikuwa...
Kuna mjadala ambao unaoendelea kuhusu sakata la wabunge kuhusu kupokea rushwa kuhusu sakata la Tanesco lakini katika sakata hili kuna baadhi ya wabunge mafisadi na wala rushwa lakini kuna baadhi...
Wakuu.Tangu zimeanza ngonjera za kilimo kwanza sijawahi kusikia kuwa kuna uwekezaji mkubwa wa kilimo kwenye bonde la Mto Rufiji, Naamini Serikali ingekuwa imeaamua kwa dhati ya kuamua kuwaonyesha...
Mtu unaamka nyumbani kwako asubuhi, pamoja na mawimbi na dhoruba hutulii kwako...unavuka bahari kuelekea nyumbani kwa mwenzio. Jioni baada ya kusetiriwa na kuchuma unachoweza huko ugenini unafunga...
Wanasayansi wamefanya utafiti na kugundua kila binadamu anayezaliwa chini ya uso wa dunia yetu hiii ni Mwanasiasa kwa kuzaliwa kwa kuwa asilimia kubwa ya maisha yake yanaimarika na kustawika au...
Watanzania tunayashuhudia haya yakitokea kila kukicha. Nakumbuka maneno ya Mwalimu yaliyosema "Yawezekana sisi ni wajinga hatuwezi kuongoza lakini hata kuuliza hivi jamani mnatuongozaje?"
Leo...
Kuna mambo ya haraka ya kufanya kwa wanahabari wenye uchungu na taifa letu. Kwa kufungiwa gazeti la mwanahalisi ambalo lilikuwa linaanika madudu ya serikali ya Kikwete ikiwemo kutekwa ka Dr...
Kutoka kushoto; Alphonce Mawazo aliekuwa Diwani wa Sombetini Arusha (CCM), Ally Bananga aliekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa, Mjumbe na Mwenyekiti wa Mahusiano UVCCM Arusha, na wa mwisho ni...
Hukumu itasomwa saa nane napiga jaramba nitakuwa nawajulisha live
Updates: Amesema wakati wa kupiga kura labour officer hakuwepo, pia mgomo hawajasema utaisha lini na hivyo mgomo ni batili warudi...
Na Khadija Khamis,MAELEZO Zanzibar
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi umesema wananchi hawajafungika kutoa mawazo yao katika Tume ya Mabadiliko ya Katiba,lakini msimamo wa CCM ni kubaki...
Licha ya kuwepo vilio vingi vya kudai masilahi ya wafanyakazi kutoka kila kona ya nchi bado serikali imezidi kunyesha jeuri ya kuziba masikio. Hili ndilo tatizo la nchi kuongozwa kwa kauli ya mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.