tuache kuwapigia kura wasanii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tuache kuwapigia kura wasanii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kombati, Aug 3, 2012.

 1. kombati

  kombati Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kwa muda mrefu sana watanzania tumekuwa na utamaduni wa kuwapigia kura wagombea ambao huongozana na wasanii katika kampeni zao...tumepigia kura burudani za TOT chini ya komba na khadija kopa, TMK wanaume Family, Bushoke, Marlaw, Dimond..nk..ushauri wangu...2015..tupigie kura sera na umaridadi na uwezo wa viongozi kuongoza kivitendo badala ya kuchanganywa na burudani za wasanii amabo huwapa sapoti wasanii wenzao....:spy:
   
Loading...