Wana JF baada ya walimu kugoma na kutotii Amri ya Serikali, sasa Serikali inajiandaa kutangaza nafasi za Maafisa watakaohesabu watu (sensa) badala ya kuwatumia Waalimu sasa kuwatumia wana vyuo...
Ukweli ni kwamba serikali ilikopa pesa kwenye mifuko ya jamii hususan PPF/NSSF kwa ajili ya ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma,na barabara za mjini DAR,mradi wa kigamboni n.k tatizo lililojitikeza...
Mjumbe na msuluhish wa mgogoro wa syria amejiuzulu, kofi anan.. Ambaye ni wa muhim kwa kuzingatia mafanikio yake ya usuluhish wa migogoro duniani hasa ya kisiasa.. Hapo jana alijiuzulu sjui united...
Watanzania tufikeni mahali tuwe wa kweli na tumuogope Mungu kudanganya peupe. Binafsi yangu nimeona noti nyingi niliona noti ya brown ya shilingi 5, nimeona 100 ya Mmasai mpaka noti za sasa...
Kauli hii iko kwenye ukurasa wake wa twitter.
"Kwa masaa 3 nimejieleza mbele ya sekretariat ya chama kuhusu tuhuma za rushwa dhidi yangu. Niliomba kutaka kutoa maelezo kwa katibu Mkuu"...
Raia Mwema | Toleo la 252 | 1 Aug 2012
BAADA ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Katibu wake Mkuu, Eliakim Maswi, kunusurika kung'olewa na mtandao wa mafisadi kupitia kwa...
Nianze thread yangu kwa kukumbusha kuwa katika Bunge lililopita 2005-10 chama cha CUF kilikuwa ndio kilikuwa na wabunge wengi na hivyo kuunda Kambi rasmi ya upinzani na kuteua mawaziri vivuli...
Tanzania To Create Sovereign Wealth Fund – President Jakaya KikweteTanzania To Create Sovereign Wealth Fund – President Jakaya Kikwete - Ventures Africa
VENTURES AFRICA –...
Maoni ya wa-Tanzania kuhusu sikukuu ya wakulima ya Nanenane na kauli-mbiu KILIMO KWANZA wadai ni kiini macho kwani hakuna mkakati wa kweli kupitia serikali kuu, serikali za mitaa kuleta mapinduzi...
Posted on August 2, 2012 by zanzibaryetu
Ahmed Rajab
Wajumbe wa tume ya kuratibu maoni ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania wakiandika maoni ya wananchi visiwani Zanzibar
ALEXANDER...
Heshima mbele sana wakuu,
Vipi sheria zetu na katiba yetu inasemaje kuhusu hili,
Tunaelewa kuna wizara ambazo haziko kwenye muungano, je wabunge kutoka Zanzibar wanastahili kutoa michango yao...
Nimekuwa ninafatilia bunge la Kenya na Tanzania kwa kipindi hiki nikijaribu kujifunza mambo kadhaa kutoka katika mabunge haya mawili, nimejifunza yafuatayo;
1. Bunge la Tanzania ni kubwa sana na...
Benki ya dunia walilazimisha maji yabinafsishwe huko Bolia South America.
Kampuni ya Bechtel moja ya makapuni makubwa nchini Marekani ikapewa tenda.
Walibinfasisha vyanzo vyote vya maji mito...
Wanabodi.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, kinafanya harakati na mbinu kuchukuwa dola lakini kuna mapungufu mengi sana ambayo ni kikwazo bahati mbaya Chadema wenyewe hawatambui hivyo...
Migomo ya watumishi wa umma ni rahisi sana kuilazimisha kusimamishwa. Na ni rahisi kwa vile watumishi hao hulipwa moja kwa moja na serikali na hutawaliwa na sheria na taratibu za kiserikali...
Akijibu swali la Wenje, Mwakyembe amesema kwamba taarifa zake si za kweli, "Ndiyo tatizo la kuchukua data kwenye JamiiForums."
Tujiulize, data za uwongo au uzushi ni hizi...
Nchi ya Tanzania imefika pabaya, kwani sasa hakuna kufuata sheria, maana kama walimu tumefuata sheria lakini hukumu ndiyo hii. Sawa tutaenda shuleni na kuendelea na mgomo barafu na hapo ndo...
CHAMA cha Walimu nchini (CWT) kiko katika hatua za mwisho kutangaza rasmi kuanza kwa mgomo wa walimu nchini, unaotarajiwa kutangazwa rasmi wakati wowote baada ya saa 48 kuanzia asubuhi ya leo...
Wednesday, August 1, 2012
THE 20 POOREST COUNTRIES IN
THE WORLD.
The 20 Poorest Countries:
The rankings below were published in Wikipedia from International Monetary Fund's 2011 gross domestic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.