IKO siku watumishi watabadili mbinu zao za kudai haki

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,307
12,602
Sina shaka kuwa iko siku serikali itakumbana na mbinu mpya za namna watumishi wake watavyodai haki zao.

Baada ya migomo ya watumishi kuishia mikononi mwa mahakama kuu ya kazi kila mara na watumishi kurudi mikono mitupu, sina shaka watumishi watatafakari namna mpya na ya kisasa ambayo watumishi na watawala wote watakosa usingizi na kufikikia win-win situation, it is just a matter of time.
 
Back
Top Bottom