Nawapongeza Wabunge wote, wawe wa kuchaguliwa/ kuteuliwa kwa kazi yao nzuri waifanyayo wawapo bungeni. Hivi ni kweli hakuna majukumu mengine yawahusuyo wabunge wetu nje ya Bunge hususani ya...
Serikali imetakiwa kumdhibiti na kumuondoa, kisha kuibomoa nyumba ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mchungaji Getrude Lwakatare.
Rai hiyo imetolewa na Waziri Kivuli, Wizara ya Ardhi, Nyumba na...
Huyu jaji alitajwa na Lissu kuwa hajui kuandika hukumu, na alishawahi kulalamikiwa na Mzee Alute wa Singida.
Leo nimeamini, kwani ripoti kapika, kupika kwenyewe hajui, haijaiva, halafu akawa...
Nyerere aliwahi kusema "mtu mwenye akili akijua kuwa na wewe una akili akakushauri jambo la kipumbavu na wewe ukakubali atakudharau". Hili ni kweli pia kwenye suala hili. Mtu mwenye akili akijua...
Awali ya Yote naipongeza Serikali kwa kuanza Kujenga hilo daraja la Mbutu ambalo ni kiunganisho muhimu sana cha mawasiliano kwa wakazi wa wilayani Igunga mwisho wa siku wananchi sio kwamba...
Baada ya mahakama kutengua ubunge wa Dalal Peter kafum, hatimae serikali ya ccm imeanza ujenzi wa daraja la mbutu!
Ujenzi huu ulioanza hivi karibuni unaonyesha ni jinsi gani ccm wanavyohofia...
Dr. Dalaly Kafumu
Kana kwamba kukomelea msumari kwenye suala la kukithiri kwa rushwa mchini, Dr Kafumu, mbunge wa CCM aliyenguliwa kiti cha Igunga, ameandika kitabu juu ya kukithiri kwa rushwa...
Baada ya mimi kuripoti humu JF jana kuwa CCM imeanza kujiandaa kwa Kampeni za Sumbawanga Mjini,jana kilifanyika kikao kingine. Nashukuru hawakunifahamu hivyo kutonitenga. Nikawepo tena kwenye...
Hii imetokea DRC, ambapo waziri wa ulinzi amefutwa kazi na kufunguliwa mashitaka kwa uzembe wa milipuko ya mabomu. Katika mashitaka hayo watajumuishwa na maafisa kadhaa wa jeshi. Huku kwetu...
Last week i had a glimpse on CNN inside Africa, the anchor of the program has been moving around the continent to tell the world what is going as far as Africa is concerned. When he was in Zambia...
Naomba kukiri ndani ya jukwaa hili kwa mara ingine tena kuwa huyu professor yuko mbali sana kiakili kuwa hapa Tanzania.
Inasikitisha sana namna ambavyo hatumiki kuijenga nchi yetu tunayoipenda.
Au...
- Ni bw. Msoffe aliyepigwa jana jioni wakati akizuia wamama wasiporwe bidhaa zao.
- Jana alilala polisi bila dhamana na leo wakampeleka mahakamani ila hakuweza hata kusimama. Akaandikiwa aende Mt...
Watu wawili,akiwemo mwanafunzi wa Sekondari,wameuawa kwa kupigwa risasi kama wanyama Wilayani Rufiji mkoani Pwani. Watu hao wameuwawa na Askari wa Wanyamapori. Walidaiwa kuwa ni majangili katika...
Kwenye facebook wall yake ametupia kitu hiki:
"Wakati tunaelekea India wiki iliyopita tukiwa Uwanja wa Ndege wa Dubai wakati tunabadilisha ndege, tulikutana na mmoja wa Makamishna wa Tume ya...
Ndugu zangu wana chadema kuna baadhi ya mambo inabidi tuyaseme hatakama yana uma hii ni kwa kukisaidia chama. Tusipokuwa makini tutalipoteza hili jimbo la Moshi mjini.
Kwa taarifa nilizozipata...
"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakiwezi kutoa maoni yoyote juu ya kauli iliyotolewa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, kwamba chama hicho kinaandamwa na rushwa mpya za kimtandao, kwa...
Wednesday, 10 October 2012 05:01
Waandishi Wetu, Arusha na Dodoma
JIJI la Arusha jana lilikuwa na hekaheka inayofanana na sinema baina ya polisi na wafuasi wa Chadema baada ya askari hao...
"Ndugu zangu tunamleta kamanda msofe, mchagueni akawashughulikie panya kwenye halmashauri yetu."
Kauli kama hizi zikiendelea zitakuja kukugharimu wewe pamoja na chama chako ulichojiunga juzijuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.