Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mchakato umeanza mapema kabisa: vinara kwa sasa ni Lowassa na Membe kwa upande wa CCM, na Zitto na Dr.Slaa kutoka CHADEMA. Kuelekea 2015 vigingi vitakuwepo vingi tu, kwa hao wanne na wengine...
0 Reactions
1 Replies
926 Views
Lile jiwe la Tawi la Kingstone ambalo lilifunguliwa na Mheshimiwa mchungaji Msigwa na kwa maandamano zaidi ya vijana 700 katika kata ya Boma -Morogoro usiku wa kuamkia leo limevunjwa. Ikumbukwe...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Jana tarehe 9/10/2012 CHADEMA walizindua kampeni zao za kugombea udiwani kata ya Mpwapwa mjini iliyowazi baada ya kifo cha diwani DR. Maiseli miezi minne iliyopita. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Kwa nini UVCCM Taifa watu wanahaingaika na umakamu na sio uwenyekiti?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
UCHAGUZI wa jumuiya ya umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Arusha umeingia dosari kubwa sana baada ya katibu wa CCM mkoani hapa Bi.Mary Chatanda kunusurika kichapo kutoka kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya kusoma ripoti ya kamati ya Kitchen Party ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi nimebadili msimamo wangu wa jinsi nilivyokuwa namkubali sana Mhariri huyu wa gazeti lenye heshima ya mgongo...
17 Reactions
123 Replies
10K Views
CHADEMA ni chama kilichojisukuma mbele kwa kasi nzuri. Mategemeo ya Chama hicho nio makubwa kuliko uwezo wake. Kwa vile uwezo wa CHADEMA unakuwa siku hata siku kijiografia na ukubwa wa changamoto...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
SALAM WANABODI Mbunge wa Jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Profesa Jumanne Abdala Maghembe amedhulumiwa mali yenye thamani ya zaidi ya Tsh bilioni moja na swahiba wake ambaye ni Diwani wa...
4 Reactions
89 Replies
12K Views
Ni mara baada ya kuwepo uzi uliosomoka 'Mishahara UDSM utata mtupu' uongozi wa UDSM umeitisha Mkutano wa wafanyakazi wote ambao utahutubiwa na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Simpho...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida Katibu wa CCM Mkoani Arusha amejikuta akiaibishwa na Mkutano Mkuu wa CCM baada ya kujifanya kusahau kumtambulisha Mhe. Edward Ngoyai Lowassa. Hili lilisababisha...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
MHADHIRI ASEMA SERIKALI IMEJIVUA NGUO na Edson Kamukara SIKU moja baada ya kamati iliyoundwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, kutoa ripoti ya uchunguzi wa mauaji ya...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Dodoma ni moja ya mikoa iliyo nyuma kimaendeleo hapa nchini na haufanani kabisa na jina kubwa ililobebeshwa na serikali ya CCM kwamba ni mji mkuu na makao makuu ya serikali.Mambo mengi bado hayako...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mufindi kusini (ccm) 2005-2010, Benito Malangalila amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Alikuwa anumwa kwa muda mrefu.
0 Reactions
66 Replies
11K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh Freeman Mbowe akihutubia wananchi wa Kata ya Daraja Mbili Jijini Arusha jana. Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
kwa heshima na taadhima naomba nitoe ujumbe wangu kwa uongozi wa cdm mimi kama mwana m4c ambae nilizindua m4c pale naura springs hotel. Ktk mkoa mzima wa klm m4c bado haijafika kabisa hivyo basi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza mmoja kati ya vijana aliyepata zawadi ya U-DC kwa kuiwakilisha moja kati ya Wilaya zilizopo Mkoani Tanga ameonekana kuutamani nafasi ya uongozi wa juu ndani ya Jumuiya ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
AKIONGOZA misa katika Kanisa Katoliki la Manzese jijini Dar es Salaam, Jumapili iliyopita, Padri Baptiste Mapunda “alikemea tabia ya kupeana uongozi ndani ya familia moja” akidai itakwamisha...
0 Reactions
161 Replies
17K Views
Chama cha Mapinduzi kimeapa kuwa kitafanya kila kiwezalo kuwanunua vijana ndani na nje ya vyama vya upinzani ili kubaki madarakani. Katika ujumbe mfupi niliopokea leo kama 'Mwana-propaganda...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jana kuna kitendo kilinishangaza Arusha,niliingia kwenye Zahanati ya Polisi pale Central(kwa wale wa Arusha wanafahamu mahali hapa) kwa sababu za kitabu tu. Nilipoingia pale...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Dear Mr. President, Wasalaam! It is pleasure to write to you through JF forums as you know well that the bureaucracy system out there do discourage us from accessing you easily. I don't want to...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom