Peter Kafumu akubali kuwa alishinda kwa rushwa???

Ngida1

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
586
206
Nimeiona hii kutoka ukumbi mwengine, lakini inababaisha!
Is this a confession of corruption or what?
...............................................................................................
Hi All,
Nd. Peter Kafumu ameandika kitabu kuhusu rushwa nchini kinachoitwa “Sauti Inayolia-Tafakuri Binafsi” (a Crying Voice-personal reflections).​
Maelezo yake ya mbio mbio yananipa fikra kama huyu Mhe anatubia labda kwa kushinda kule Igunga kwa kupitia mambo ya rushwa na sasa anaomba radhi.​
Anyway, kila mtu atafahamu kivyake, lakini mimi ninamuona kama anaomba radhi, hasa pale alipoandika kuwa...."...kwamba kuishi kwa uaminifu katika jamii
iliyokithiri kwa rushwa ni sawa na tone la damu ya samaki aliyejeruhiwa baharini".

Najua Mhe Kafumu yupo hapa ukumbini. Ningelimuomba atupe briefing ya kitabu chake ambacho kidogo hakifahamiki - yaani haeleweki kama anai-expose​
rushwa au anaomba radhi kwa rushwa iliyotendeka Igunga mpaka akashinda?

ZANZIBAR NI KWETU: PETER KAFUMU ALISHINDA KUTOKANA NA RUSHWA?

wakipata nafac kwa rushwa hawaoni tatizo ila wakitoswa ndo wanaona rushwa mbaya mfano sumaye et al
 
Yeye alilijuwa mapema ndo maana akasema anaenda zake kwenye madini ccm wakaforce kukata fufaa.
 
Nimeiona hii kutoka ukumbi mwengine, lakini inababaisha!
Is this a confession of corruption or what?
...............................................................................................
Hi All,

Nd. Peter Kafumu ameandika kitabu kuhusu rushwa nchini kinachoitwa "Sauti Inayolia-Tafakuri Binafsi" (a Crying Voice-personal reflections).​

Maelezo yake ya mbio mbio yananipa fikra kama huyu Mhe anatubia labda kwa kushinda kule Igunga kwa kupitia mambo ya rushwa na sasa anaomba radhi.​

Anyway, kila mtu atafahamu kivyake, lakini mimi ninamuona kama anaomba radhi, hasa pale alipoandika kuwa...."...kwamba kuishi kwa uaminifu katika jamii

iliyokithiri kwa rushwa ni sawa na tone la damu ya samaki aliyejeruhiwa baharini".

Najua Mhe Kafumu yupo hapa ukumbini. Ningelimuomba atupe briefing ya kitabu chake ambacho kidogo hakifahamiki - yaani haeleweki kama anai-expose​

rushwa au anaomba radhi kwa rushwa iliyotendeka Igunga mpaka akashinda?

ZANZIBAR NI KWETU: PETER KAFUMU ALISHINDA KUTOKANA NA RUSHWA?

Unauliza kitanda kwa mgonjwa?huyo vasco tu anajua kaingiaje magogoni,sembuse kafumu?
 
Hakuna Mwana CCM hata mmoja asiyetoa na kupokea rushwa, kama yupo ajitokeze hapa jukwaani.

Ndani ya CCM rushwa ilikuwa ni mfumo na sasa Sumaye anasema ni Mtandao
 
Ngida1, mbara, Mkandara,

..hicho kitabu cha Dr.Kafumu kinachokemea rushwa, dibaji imeandikwa na Raisi Mkapa.

..binafsi nadhani huo ni UNAFIKI mkubwa. tena sijui nani ni mnafiki zaidi kati ya Kafumu na Mkapa.
 
Last edited by a moderator:
Kama anapinga rushwa ccm anafanya nini? ccm ni nyumbani kwa wala rushwa. wote wanao pinga rushwa hawapo ccm. mimi nashangaa, sasa ni miaka 13 tangu baba wa taifa afariki, na tangiapo alishawambia "CCM INANUKA RUSHWA". mia
 
Back
Top Bottom