Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Heche na Katibu Mkuu wake Deogratius Munishi wamealikwa na Baraza la vijana la chama tawala nchini Ujerumani kuhudhuria mkutano wake mkuu.
Vijana hao wa BAVICHA...
Wakati jana imeripotiwa kwamba CCM waliwashambulia kwa mawe wafuasi wa CDM huko Dodoma na kujeruhi vibaya mwandishi wa habari,leo gazeti la serikali Habari Leo limeripoti tofauti na kusema CDM...
Na Mwinyi Sadallah
11th October 2012
Mwakilishi mpya wa Jimbo la Bububu, Hussein Ibrahim Makungu
Mwakilishi mpya wa Jimbo la Bububu, Hussein Ibrahim Makungu, jana...
Nimetafakari kwa makini maendeleo yetu kisiasa,mijadala yetu hapa jamvini na mwelekeo wa siasa ya nchi yetu nimegundua kuwa wanasiasa wetu wa leo wengi wanalazimisha kuwa mahali wanapofikiri wapo...
Conservationists have hit out at attempts by Tanzania to hold a one-off sale of its ivory stockpile and downgrade the level of protection for the country's elephants. Tanzania has formally applied...
Thu, Oct 11th, 2012
Headlines / Tanzania |
By In2EastAfrica Reporter
Malawi has expressed willingness to resume talks with Tanzania to resolve a protracted territorial dispute concerning the...
MTANDAO wa rushwa katika wilaya ya Hanang uliomwangusha Waziri Mkuu, mstaafu, Frederick Sumaye, unadaiwa kuundwa na watu wa karibu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete...
Kwanzaufisadi PPF ambapo wanajilipa milioni 200 kila mmoja kwenye bodi
sasa huku LAPF nako mambo si shwari
Inaonekana kuwa huyu CEO wa LAPF ana akli kama ya Panzi...yaani mtu halipi kodi ...
Mti huu ni kumbukumbu kwamba umetutoka kimwili lakini ungali nasi kiroho hadi tutakapoungana nawe katika makazi ya Baba wa milele.
Dr. Slaa alipofika kwenye msiba wa familia ya hayati Daud...
Katibu wa Bavicha Jimbo la Njombe Kusini (Njombe Mjini) kwenye Mkoa mpya wa Njombe, Jackson Mtakimwa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwenye Zahanati ya TANWALT mjini Njombe. Septemba 25 mwaka...
Leo asubui kabla ya kikao cha baraza la wawakilishi kuanza spika wa baraza la wawakilishi,bw.kificho alitangaza kazi ya kwanza ni kumwapisha mwakilishi wa jimbo la bububu,ndipo wajumbe wote pamoja...
Mwakilishi mpya wa Jimbo la Bububu, Hussein Ibrahim Makungu, jana aliapishwa huku Mawaziri wa Chama cha Wananchi (CUF) na wajumbe wake wakisusia tukio hilo kwa kutoka nje ya ukumbi wa Baraza la...
Imeandikwa tarehe 10 OCTOBER 2012 – NA ARNOLD SWAI, MOSHI
MJUMBE wa Halmashauri kuu y a Taifa ya CC (NEC), Samuel Sitta amesema kwa sasa chama hicho kiko imara zaidi ila alikiri moja ya...
Wakuu
Nilikuwa nimekaa natafakari utendaji kazi na ufanisi wa X-PM's wetu wa hivi karibuni specifically Sumae, Lowassa na Pinda. Specifically nikizingatia uwezo wao wa kubuni mipango kabambe ya...
Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.
Mpenzi Frank,
HAYA mkorofi wangu utasema nini sasa? Si umesikia? Wanaoleta fujo ni wale wanaoandamana kwa amani si wale wanaoua katika...
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe jana alihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa kampeni katika kata ya Daraja Mbili Arusha...uliofanyika mbele ya ofisi za Kata za...
Wakuu,
Palikuwa na habari ambayo iliwekwa hapa kama tetesi, lakini habari hizi ninapenda kuwafahamisha wadau kuwa aliyefariki ni kaka yake mbunge Zaituni Buyogera mbunge wa Kasulu Vijijini (NCCR)...
08 October 2012 | Mwananchi
SERIKALI imeipongeza Kampuni ya African Barrick Gold (ABG) kwa kuleta manufaa makubwa kwa taifa kutokana na uwekezaji unaoendelea kufanywa na migodi yake nchini katika...
KAMANDA wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Christopher Gachuma, amewataka vijana wa chama hicho, kuwa kama ‘wendawazimu' ifikapo mwaka 2015.
Akifafanua kauli...
Mbowe: Wananchi lazima wanufaike na Mlima Knjaro
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema Mlima Kilimanjaro hauna budi kuwaletea manufaa wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.