Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hapa nimekosa jibu mwenye majibu anisaidie tafadhari
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maoni yaliyotolewa na Mh F Sumaye, pamoja na kushindwa kupata U-NEC, ni wake up call kwa CCM. Sina uhakika kama Mh Sumaye angetoa maoni hayo kama angeshinda kinyang'anyiro hicho cha kugombea...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ikumbukwe kwamba Maelfu ya watu wana tumia dawa za kurefusha maisha,lakini cha kushangaza imebainika kuingizwa dawa bandia za kuferusha maisha. Hivyo mamlaka ya dawa imeagiza ziondolewe...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
The two presidents lead East Africa's largest economies. One of them however seems to delivering beyond the expectations of his people. Who is it and why? One of them seems to build a self-reliant...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu, Nipo kwenye ukumbi tayari na nitawajuza kila kinachoendelea ikiwa ni pamoja na picha. Mods mtanisadia kuziweka sawa kwakuwa nitakuwa naandika kadiri matukio yanavyojiri. Ni hapa Courtyard...
15 Reactions
279 Replies
31K Views
MH. DIANA CHILOLO AWABWAGA WAPINZANI WAKE NAFASI YA MWENYEKITI WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA UWT (CCM) MKOA WA SINGIDA. Mbunge wa viti maalum (CCM) mkoa wa Singida Diana Mkumbo Chilolo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
niko kwenye eneo la mkutano punde si punde viongozi wa chama mkoa na taifa wataanza kuingia eneo hili nyimbo za kishujaa watu vikianza kuingia vikundi vidogo vidogo vijana kwa wazee msafara wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa habari na uenezi (CHADEMA) John Mnyika leo akiongea na waandishi wahabari katika ofisi ya chama, amemtaka Kikwete kuchukua hatua za haraka kwa wahusika kwa kumpiga na bomu la machozi...
9 Reactions
71 Replies
7K Views
Watanzania ni wepesi sana kutekwa na mijadala ambayo huandaliwa kimkakati na wajanja ili kufikia malengo yao! Ni jambo la kusikitisha kuona huwa tunaingizwa kujadili mambo ambayo yana tija ndogo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
akinukuu maneno ya prof Lipumba, MH freeman mbowe akihutubia ufunguzi wa kampeni kata huko rombo amesema kuwa mapato yanayotokana na mlima kilimanjaro yarudishwe kwa ajili ya wanainchi, ni maneno...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mpango wa Serikali iliyouanzisha wa ununuzi wa Pikipiki za kubebea wagonjwa ili kuzuia vifo vya wakinamama na watoto katika maeneo ya vijijini. Serikali inakusdia kununua Pikipiki 400 ambazo...
0 Reactions
179 Replies
21K Views
JE HUYU NI MWENZETU??????? je na hawa nao ni wenzetu??? kitanda kimoja wagonjwa wawili, je haya nayo yanahitaji wafadhili? kazi kwenu wapiga kura je hawa nao vipi??? ama kweli je tutafika bila...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Mgombea udiwani kata ya daraja mbili CHADEMA Kamanda Prosper Msofe amekamatwa na polisi jioni hii.Amekamatwa baada ya Kada mmoja wa CCM kudai kuwa mgombea amemzuia kufanya kazi. Ilikuwa hivi...
3 Reactions
94 Replies
9K Views
Jana niliandika kuwa ni chadema isipoangalia itakuwa inacheza ngoma ya CCM kwa maana ya kujadili matukio na issues kwa sababu ccm haitaki kujadili issues kwa sababu hawana cha kujadili when it...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
ni katika uzinduzi wa kampeni za udiwani kata ya mpwapwa mjini ni baada ya alie kua diwani wa kata hiyo kufaliki dunia mkutano huo wa uzinduzi utaanza saa za mchana saa tisa na kamanda BENSON...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika pitapita yangu nimekutana na kituko cha huyu mama akiuza kuku huku akiwa kambeba kama mtoto mgongoni nilijiuliza maswali mengi sana juu ya hili na nikiangalia miaka ya uhuru tunaojivunia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chama cha CHADEMA kimeshinda rufaa iliyokatwa na aliyekua mbunge wa SUMBAWANGA MJINI BW. AESH HILALY BAADA YA RUFAA HYO KUTUPWA NA MAHAKA LEO. Update 1: By Ngambili Ngenja 18:05 Yesterday...
9 Reactions
118 Replies
13K Views
Baada ya kuuawa kwa Mwangosi Tendwa kama kawaida yake alikurupuka na kutoa kauli za utata na zisizo na umakini dhidi ya CHADEMA. Kama Tenwa alikilaumu CHADEMA kwa vurugu aone sasa UVCCM, sijui...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu waheshimiwa sana leo asubuhi nimepitia habari ya mbele kwenye kurasa la gazeti la tazama likiwa limeandikwa hivi Chadema yajibu mapigo ya cuf halafu ukiisoma habari yenyewe ni tofauti na...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa atazindua kampeni za udiwani kata ya Daraja mbili Arusha Jumamosi 6.10.2012.Uchaguzio wa kata hii unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa diwani wa kata hiyo kupitia ccm
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom