Waziri afukuzwa kazi na kufunguliwa mashitaka kwa milipuko ya mabomu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri afukuzwa kazi na kufunguliwa mashitaka kwa milipuko ya mabomu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyalotsi, Oct 10, 2012.

 1. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,981
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  Hii imetokea DRC, ambapo waziri wa ulinzi amefutwa kazi na kufunguliwa mashitaka kwa uzembe wa milipuko ya mabomu. Katika mashitaka hayo watajumuishwa na maafisa kadhaa wa jeshi. Huku kwetu tunalindana na kubadilishiana ulaji tu. Kuna utofauti mkubwa kati ya viongozi na genge la wahuni!
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  unaifananisha Tanzania na Kongo? Tanzania ni nchi ya watu waoga
   
 3. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Bongo ya ****** hailinganishwi na taifa lolote duniani. Tuko kivyetuvyetu hatuna mfumo unaojulikana kiutawala duniani.
   
 4. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,404
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Hihi ndo bongo bana kilakitu tambararee
   
 5. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hapa kwetu jambo kama hilo likitokea viongozi hao watapandishwa vyeo kuonyesha mabomu yanafanya kazi sawasawa si feki, unaona eeh?
   
 6. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,043
  Likes Received: 625
  Trophy Points: 280
  _63300937_11_tanzania_reuters.jpg

  Inategemea mtu aliupata Urais kwa malengo gani.
   
 7. Sanene

  Sanene Senior Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Unamaanishi sisi tunaongozwa na genge la wahuni?. Nimeipenda hio umepatia.
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  Ni kweli kabisa!
   
 9. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 601
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  This picture has made my day, lol!!!!
   
Loading...