ASKARI wa JK waua tena...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Watu wawili,akiwemo mwanafunzi wa Sekondari,wameuawa kwa kupigwa risasi kama wanyama Wilayani Rufiji mkoani Pwani. Watu hao wameuwawa na Askari wa Wanyamapori. Walidaiwa kuwa ni majangili katika Hifadhi ya Taifa ya Selou(?) kitu ambacho kimekanushwa vikali na wananchi wa sehemu hiyo. Kwa ubabe, wakazivua nguo maiti na kutuma nguo hizo nyumbani kwa marehemu.

Chanzo: ITV(Habari ya saa saba mchana)
 
Matumaini ya CCM kupona kubakia madarakani sasa basi tena kwa misingi ya huu utitiri wote wa KUCHINJA WANANCHI WAKE wenyewe kwa kutumia dola kwa maslahi ya MAFISADI wachache wanaokihodhi serikali hii.
 
Nitaunda kamato kuchunguza chanzo cha vifo vya hao watu haraka iwezekanavyo.......ili kubain ukweli
 
Shida ni kwamba tunapiga kelele weeeeeeee, "tunauwawa tunauwawa"..kama hatutafanya jambo lolote. TUKAE KIMYA KABISA, TUACHE KELELE ..sasa fikiria mwanafunzi wa Sekondari?!!!

Ujinga huu tunaofanyiwa, bado tunakaa tunasema hatuelewi kwanini wazazi wetu waliteswa na kunyanyaswa na mkoloni?Tena tunawabeza kusema, "wao walikuwa watu wa ajabu sana" ..UAJABU wao una tofauti gani na wetu?


Anyway, POLE kwa wafiwa.
 
Mambo ni magumu sana kwa CCM ni lazima damu imwagike ili mizimu irekebishe mambo, CCM ni Chama Cha Majini.
 
Should we now stop fearing and stand up to take our country back?

TIME FOR CHANGE IS NOW. WAKE UPPPPPPPPPPP
 
Chama kinahitaji damu nyingi ya kutosha ili kiweze kubaki madarakani 2015, si unajua ilani na katiba yetu ya chama iko kwa mganga wa kienyeji kwa ajili ya marekebisho na maboresho zaidi!!!!!!!!!
 
Mkuu ni askari wanyamapori wa maliasili ndio wameua watoto wawili tena wanafunzi!!!
 
Wanzulum Wakulima, wanazurumu haki za wafanyakazi hasa Walimu na sekta ya afya, wanaua watu kimafia, wanaua hata waandishi wa habari, wametunga sheria ya kunyang'anya pesa za akiba za wafanyakazi, wanaiba kura, watoa rushwa ili washinde uchaguzi, tena hadharani.......! Hivi hawa watu watushike wapi ndo tujue hawatupendi? Naaza kuhisi kwamba akili zetu Watanzania zipo tofauti na nchi zingine! Kama ingekua nchi nyingine, sahizi ccm ingeisha kuwa kaburini siku nyingi and may be maiti ingekua imeisha oza siku nyingi tu.
 
Ban imeisha leo,halafu nakutana na upuuzi mwingine kama huu,sijui hata niseme nini kwa huu ushenzi wa hawa askari.....
Kikwete step down tumekuchoka kaka, hapa nasalimia tu baada ya kupigwa ban ya mwezi,nakuja
 
Wanasiasa wanatupoteza mda tu......wak up people, wakup TZ, Tuingien barabaran, hili tunalimaliza fasta! Unajua bendera yetu bila kua na rangi nyekundu hatuwez kufanikiwa nchi.....
 
Back
Top Bottom