Ccm yaanza kujenga daraja la mbutu wilayani igunga - ni nini tafsiri yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm yaanza kujenga daraja la mbutu wilayani igunga - ni nini tafsiri yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sabayi, Oct 10, 2012.

 1. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,320
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Awali ya Yote naipongeza Serikali kwa kuanza Kujenga hilo daraja la Mbutu ambalo ni kiunganisho muhimu sana cha mawasiliano kwa wakazi wa wilayani Igunga mwisho wa siku wananchi sio kwamba tunataka ccm,CDM,tlp au cuf bali ni maendeleo na uwajibikaji.Lakini ni kwanini limeanza kujengwa muda huu? Is it a coincidence? Au ni kujipanga kwa ccm kwenye uchaguzi wa marudio Igunga? Wakija na evidence ya walichowafanyia tayari wananchi? Je wakishindwa tena uchaguzi wa marudio kabla hilo daraja halijaisha bajeti ya kuendelea kulijenga itakuwepo? au nalo litaishia hapo hapo tukaimbiwa wimbo wa kila siku kuwa Kasungura ni kadogo hakatoshi?
   
 2. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,476
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Waaache wajenge,hizo ni kodi zetu,na wao wana haki,lakini kumbuka watanzania Wanakula CCM wanalala CDM!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  hata wajenge fly overs toka songea hadi bukoba CCM has to go!
   
 4. d

  delako JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 1,731
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Its true!Tunakula nyinyiem na kulala cdm!!!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Daraja na lijengwe,tena limecheleweshwa sana
  .
  Lakini ccm wasije wakatumia uchochoro huo kama namna ya kujikampenia wapewe kura, maana attempt hiyo itakuwa to their detriment, na itawaangushia pua.
   
 6. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,320
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Wasi wasi wangu ni kuwa incase wakipigwa chini kwenye uchaguzi mdogo wanaweza wasiendelee tena kulijenga hilo daraja
   
 7. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,600
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  wanaogopa kuanguka endapo uchaguzi utarudiwa!
   
Loading...