Prof lipumba is a genious!

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,348
559
Naomba kukiri ndani ya jukwaa hili kwa mara ingine tena kuwa huyu professor yuko mbali sana kiakili kuwa hapa Tanzania.
Inasikitisha sana namna ambavyo hatumiki kuijenga nchi yetu tunayoipenda.
Au kuna kitu sikijui?

Ajabu ni kuwa watu kama hawa huwa kimya, na hupenda kutumia akili zao kwa faida ya familia zao, lakini huyu ndugu anajitoa, amekubali kuingia kwenye siasa hizi ngumu za Tanzania.
Mungu mlinde huyu baba!!
 
so true...
 
Kafanya nini tena "mwenyekiti wa uchumi duniani?" Au kawabwaga tena maprofesa wachumi wa dunia kwenye mtihani? Maana tuliambiwa jamaa alishika nambari 1 duniani!
 
akishika dola ametamka, atamtumia mh ndesamburo kama mkuu wa utalii tanzania ili kuinua kipato
 
Naomba kukiri ndani ya jukwaa hili kwa mara ingine tena kuwa huyu professor yuko mbali sana kiakili kuwa hapa Tanzania.
Inasikitisha sana namna ambavyo hatumiki kuijenga nchi yetu tunayoipenda.
Au kuna kitu sikijui?

Ajabu ni kuwa watu kama hawa huwa kimya, na hupenda kutumia akili zao kwa faida ya familia zao, lakini huyu ndugu anajitoa, amekubali kuingia kwenye siasa hizi ngumu za Tanzania.
Mungu mlinde huyu baba!!

genius kama akina Eistein, au? by tanzania standards!
 
Profesa alitumika awamu ya pili! Alikuwa mshauri wa mzee ruksa wa uchumi! profesa alikuja na sera ya Ruksa.Uchumi uliyumba sana! mfumuko wa bei! tulikopa sana njee ya nchi! nchi ilikuwa haina Vision!
Lipumba ni profesa wa darasani tuu! kumeza na kukariri tuu!
 
Naomba kukiri ndani ya jukwaa hili kwa mara ingine tena kuwa huyu professor yuko mbali sana kiakili kuwa hapa Tanzania.
Inasikitisha sana namna ambavyo hatumiki kuijenga nchi yetu tunayoipenda.
Au kuna kitu sikijui?

Ajabu ni kuwa watu kama hawa huwa kimya, na hupenda kutumia akili zao kwa faida ya familia zao, lakini huyu ndugu anajitoa, amekubali kuingia kwenye siasa hizi ngumu za Tanzania.
Mungu mlinde huyu baba!!
hatumiki kwa sababu amekubali kutumiwa.mwambie aende ambako akiri yake inafaa kuwa,then utajua kama niwamhimi au laa!
 
My standards

Noted, if by your standards, then I fully agree, Lipumba is a genius! A WORD OF CAUTION! BUT REMEMBER GENIUS IS A CONCEPT, AND CONCEPTS ARE PUBLIC NOT PRIVATE! Then my standards can not be defined at international levels!
 
Profesa alitumika awamu ya pili! Alikuwa mshauri wa mzee ruksa wa uchumi! profesa alikuja na sera ya Ruksa.Uchumi uliyumba sana! mfumuko wa bei! tulikopa sana njee ya nchi! nchi ilikuwa haina Vision!
Lipumba ni profesa wa darasani tuu! kumeza na kukariri tuu!
acha kukariri wewe, lipumba by now ni mchumi wa dunia pia ni mshauri wa uchumi katika nchi za A.kusin ,Uganda and Burundi na uchumi wao is atleast kuliko tanzania. serikali yetu ni nafiki tu haiwapi nafasi watu waelewa kama pro lipumba
 
Noted, if by your standards, then I fully agree, Lipumba is a genius! A WORD OF CAUTION! BUT REMEMBER GENIUS IS A CONCEPT, AND CONCEPTS ARE PUBLIC NOT PRIVATE! Then my standards can not be defined at international levels!

Seems like you do not agree, it is okay also, using my standards. By 'my standards' I mean me and the 'whole world' I am in.
 
Ni huyu huyu Profesa aliyeshindwa kwenye uchaguzi wa uraisi mara NNE mfululizo?
He is in the wrong place.The guy is good in his carrier,he has been gaining high public applaud as a brilliant economist.resource inayopotea.
 
Huyu Prof ana akili za darasani tu, akili za maisha hana kabisa. Haiwezekani mtu ugombee urais na kushindwa mara 4 lakini bado unang'ang'ania badala ya ku consider other options...

Kama Lipumba angekuwa competent nje ya darasani asingepikika chungu kimoja na yule Hizbu Maalim Seif, mgumu sana kuelewa yule Maalim. Julius Mtatiro na Maalim wanaendana
 
Lipumba is Machinery hakuna mfano wake Afrika.
Mkuu,
nakushauri utumie lugha yetu ya Taifa. Sijui hapo umemaanisha nini? Kama ni MACHINERY basi nashauri apelekwe SIDO au huko SYMBION atufulie UMEME WATANZANIA kwa bei nafuu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom