Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAKALA AMA KWELI WANASIASA WANA NDIMI MBILI Mwishoni mwa mwezi Agosti, waziri wa Afrika mashariki bwana Samwel Sitta aliibuka na kudai kuwa chama cha demokrasia na maendeleo hakina...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
ni wakati wakilejea mkoani wame rushiwa mawe na watu wasio julikana na ili kua nikatikati ya kata ya mazae na mpwapwa mjini mara tu baada ya ku funga mkutano wa uzinduzi wa kampeni kata ya mpwapwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Chama kikongwe cha siasa nchini Tanzania, CCM kinazidi kupoteza demokrasia ndani ya chama chake,ama kwa makusudi au kujisahau.Namaanisha kutokana na staili yake inayofanyika katika chaguzi zake za...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Wanajamvi nauliza hivi: Jee, ingekuwa ni wafuasi qwa Chadema ndiyo wamevunja uzio (ribbon) iliyowekwa na polisi pale kidongo Chekundu na kuingia uwanjani, ingekuwaje? Jee sasa hivi Chadema si...
6 Reactions
89 Replies
8K Views
Jamani mwenye access na Mlimani TV amwangalie Dr Ulimboka sasa hivi anazungumza Updates: Hii ni habari iliyoandikwa na Tanzania Daima JumatatuOktoba 8 2012 na Joseph Senga Sijazibwa Mdomo -...
7 Reactions
149 Replies
17K Views
Ingawa uchaguzi wa CCM ni wao, hakuna kitu kimenishangaza kama watu wenye udhu kama Fredrick Sumaye waziri mkuu wa zamani kuangushwa na Mary Nagu mtuhumiwa wa kughushi vyeti vya taaluma...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Katika orodha ya watu 11 waliotajwa katika Uwanja wa Mwembeyanga, Jijini Dar es Salaam, jina la Mheshimiwa F. T. Sumaye halikuwemo. Rejea: MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Sumaye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mh. Mbunge Sugu akiwasili katika eneo la mkutano.. Mbunge Joseph Mbilinyi akiwahutubia wananchi.. Wananchi wa Uyole kati Mbeya wakimsikiliza Mbunge wao Baadhi ya wananchi wakisikiliza mkutano...
2 Reactions
17 Replies
7K Views
JUMAMOSI, SEPTEMBA 29, 2012 08:45 NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM MGOMBEA wa nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sango Kasera, amesema anaamini ana sifa za kuitumia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
''wamilikiwa vituo vya mafuta sumbawanga , wamegoma kuhuza mafuta ili kuhujumu wananchi waichukie serikali yao '' unahujumu zoezi zima la mitihani ya kidato cha nne wakati wa usambazaji wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hapo chini, ndio timu ya CCM (Musoma) ambayo CHADEMA inapozisoma namba zake, kibwagizo cha CCM- PURESHA INAPANDA INASHUUUKA! (CCM Presha inapanda inashuka - YouTube) kinaanza kupigiwa jalamba...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Katika hali ya kushangaza Mkoa wa Arusha umeonekana kugubwikwa na sintofahamu baada ya Chaguzi zinazoendelea ndani ya Chama kuonekana ama kuingiliwa au kutishiwa na vyombo vya dola. Haya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Imekuwa ni kawaida hapa kwa misukule ya CCM kusema vyama vingine havina Demokrasi, sasa kwakuwa huu ni msimu wa chaguzi upande wa CCM ningependa kujuwa fomu za kuwania Uenyekiti wa Taifa...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
To President Jakaya Kikwete: As citizens from around the world, we call on you to oppose any attempt to evict Maasai from their traditional land or require them to relocate to make way for...
7 Reactions
91 Replies
10K Views
Baada ya Usa-River kupata hadhi ya kuwa Mji Mdogo, Serikali imepanga kufanya uchaguzi baada ya Wenyeviti waliopo madarakani kumaliza muda wao kisheria. Kwa hiyo:- 1. Mchakato wa vyama kupata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa kamati ya kukusanya maoni ya wananchi juu ya katiba mpya, Jaji Joseph Sinde Waryoba amesema kamati yake ipo kwa mujibu wa sheria na muda uliopangwa kumaliza kazi yake pia upo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza kabisa niwapongeze mods kwa busara zao za kipekee, maana kama siyo wao leo hii ningekuwa naendelea kuugulia ban. Muda huu nipo kwenye eneo la mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika uwanja...
24 Reactions
373 Replies
31K Views
Tanzania's plan to sell ivory stockpile is 'ludicrous', say conservationists The east African country has formally requested permission to allow it to hold a sale of more than 100 tonnes...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Kiukweli majimbo ya Iramba yanapita katika wakati mgumu sana nadhani kuliko vipindi vyote. Majimbo yapo ICU, na bendera zipo nusu mlingoti hasa baada ya wabunge wake kufanya mapambano ambayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mh waziri pole sana na majukumu yako ktk ujenzi wa taifa na ukubwa wa wizara yako kwa ujumla, tatizo letu sisi wanaichi ni kuhusu kuruhusiwa kwa uwingizwaji wa magari yaliyotumika zaidi ya miaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom