CCM yaanza ujenzi wa daraja la mbutu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM yaanza ujenzi wa daraja la mbutu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bangoo, Oct 10, 2012.

 1. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Baada ya mahakama kutengua ubunge wa Dalal Peter kafum, hatimae serikali ya ccm imeanza ujenzi wa daraja la mbutu!

  Ujenzi huu ulioanza hivi karibuni unaonyesha ni jinsi gani ccm wanavyohofia kupoteza jimbo hilo!

  Magufuli leo ametembelea ujenzi wa daraja hilo, na kutaka wakandarasi kufanya haraka ktk ujenzi huo!

  Je ni uoga wa kuona wanaweza kupoteza jimbo hilo endapo uchaguzi utarudiwa?.
   
 2. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  CCM yajenga daraja?
  Ni fedha ya wananchi wote wa Tanzania ndizo zinafanya kazi ya ujenzi na kamwe CCM haitoi senti hata moja.
   
 3. s

  slufay JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  anatimiza ahadi ccm safi! Tumeahidi ma sasa tumetekeleza к wivu wajinyoke watu pilau hiyo inakuja. Iapatndeleo nawa:photo:
   
Loading...