Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali 'yaburuzwa' ICC Na Beatrice Shayo 13th October 2012 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dk. Helen Kijo Bisimba, akisisitiza jambo wakati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Angalia Sample - M/S Zakia Meghi Wizara ya Mali asili ilioza kwa ufisadi - akaja Wizara ya fedha - waka EPA na majengo pacha Haya Bungeni mama Kiroboto haya tena tunamtaka aliyetoka UN...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndiyo Wakuu ,heshima kwenu ! Katika kutimilika kwa nukuu ya Rais msitaafu wa Afrika ya kusini, Mzee Mandela isemayo "NO EASY WALK TO FREEDOM AND DEMOCRACY." Jana Kamanda Mawazo,diwani wa zamani wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika hali ya kustaajabisha leo maeneo ya Survey Dar Es salaam, machinga wa kichina alikutwa na camera yetu akitembeza simu za kichina aina ya Nokia zenye thamani ya 70,000 kila moja ila yeye...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuache lugha za uchonganishi
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Katika hatua ya kujiandaa mbio za urais mwaka 2015 bado zinaendelea. Hatua ya kwanza ambayo ni muhimu ndani ya chama CCM imekamilika. Wadau na makada wamepigwa na butwaa kwani bado zamu za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pamoja na vuguvugu la nguvu mpya linaloonyeshwa na chadema, cuf na nccr mageuzi ni wazi kuwa chama tawala ccm kina nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi wa urais wa mwaka 2015. Hata hivyo chadema...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Wanabodi kama tujuavyo mwishoni mwa mwezi huu 28-10-2012 , utakuwa na uchaguzi wa madiwani katika kata zipatazo 29, kwa wale wenye orodha ya kata ambazo uchazi utafanyika waweke hapa tuweze...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana JF taarifa tulizozipata ni kuwa sasa hivi kuna vita kali ya chinichini kati ya madiwani wa Manispaa ya Moshina Mkurugenzi wao kuhusu ugawaji wa viwanja uliofanywa kinyemela na Mkurugenzi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Haya tena Sumbawanga ipo Wazi kazi kwenu kutoa maoni kampeni na uchaguzi uwe vipi? Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Karume: Muungano ni kama koti likitubana tunavua. CCM Kisonge: Tunataka tukohoe ndani ya Muungano. Mwanasheria mkuu Zanzibar: Lazima Zanzibar tutoke katika boksi la Muungano. Tulijenga nyumba...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Mgombea udiwani kata ya Darajambili aliyeshambuliwa na kulazwa hospitali amerejea tena kwa kishindo nakuendelea na kampeni zake katka vitongoji mbalimbali mpaka kieleweke..
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Kilio kikubwa mashule ni ukosefu wa vitabu, watoto wamekuwa wakisoma kwa shida kutoka na vitabu vya kuchangia au kutokuwepo vituba kabisa,wakati huo huo, vinaibuka tuhuma kwamba viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Heche avuta umati. Chadema imepiga hodi Sumbawanga jana na kuanza kambi rasmi ya kutetea jimbo lililochukuliwa kwa mizengwa na CCM kisha kunyang'anywa na mhimili wa Mahakama nchini. Jimbo liko...
6 Reactions
48 Replies
6K Views
Malawian Foreign Affairs Minister Ephraim Nganda Chiume, on Thursday led a team of government officials on a tour of the border district of Karonga to assure people of their safety amid...
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Lowasa akiongea kwenye uchaguzi wa mwenyekiti, amewapa Salamu Wapinzani kuwa uchaguzi ukirudiwa Arusha watalichukua jimbo Mapema iwezekanavyo. Chadema walitumia udhaifu wao kulichukua jimbo...
1 Reactions
193 Replies
16K Views
ZZK, mwaka 2010 na baadae mwaka huu 2012 umetangaza nia ya kugombea urais ifikapo 2015, sio jambo baya. Lakini nina maswali yafuatayo: [*=1]Je ni kwa nini mwaka 2010 wakati wa kampeni, chama...
8 Reactions
56 Replies
5K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatoa ufafanuzi kwa umma kwamba pamoja na kauli ya Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani ya kusudio la kuwasilisha ripoti...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Ameanguka na kupelekwa hospitali alipokuwa akihesabu kura zake za uenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi. Hadi anaanguka inasemekana alikuwa na kura 100 dhidi ya kura 500 za mpinzani wake, Mtopa. Matokeo...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa...
1 Reactions
111 Replies
9K Views
Back
Top Bottom