Chaguzi ndogo za kata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chaguzi ndogo za kata

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kurunzi, Oct 8, 2012.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Wanabodi kama tujuavyo mwishoni mwa mwezi huu 28-10-2012 , utakuwa na uchaguzi wa madiwani katika kata zipatazo 29, kwa wale wenye orodha ya kata ambazo uchazi utafanyika waweke hapa tuweze kufanya tadhimini ya kata hizo na tathimini ya ushindi wa chama chetu CDM.
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Usiwe na wasiwasi hizo kata zinakwenda CHADEMA. Shaka ondoa. Viva CDM. magamba kwishney.
   
 3. M

  Magesi JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Msalato,Nanjara reha,Daraja mbili ongezeni nyingine
   
 4. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nitafurahi km kata ya Msalato itakombolewa, utakuwa mwanzo wa Dodoma kutwaliwa.
   
 5. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  kwishney cdm!
   
 6. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  suala la udiwani utakwenda chama gani liko dhahiri, lakini ni muhimu tukazifahamu. mimi najua moja tu ya daraja 2 - arusha.
   
 7. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
  Na Veronica Kazimoto- MAELEZODar es Salaam Uchaguzi mdogo wa Madiwani katika kata ishirini na tisa na halimashauri ishirini na saba Tanzania bara utafanyika tarehe 28 Oktoba, mwaka huu. Akizungumza katika mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na viongozi wa siasa ngazi ya Taifa leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Uchaguzi Julius Mallaba amesema maandalizi ya uchaguzi huo yameanza rasmi ili kuhakikisha kwamba kila raia mwenye sifa anapata fursa ya kushiriki na kuchagua kiongozi anayemtaka. Amezitaja Kata na Harimashauri hizo kuwa ni pamoja na Bangata (Halmashauri ya Wilaya ya Arusha), Darajambili (Halmashauri ya Manispaa ya Arusha), Msalato (Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma), Mpwapwa (Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa), Magomeni (Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo), Lwezera (Halmashauri ya Wilaya ya Geita) na Bugarama (Halmashauri ya Wilaya ya Kahama). Nyingine ni Mwawaza ambayo iko Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Vugiri (Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe), Tamota (Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto), Makata (Halmashauri ya Wilaya ya Liwale), Mnero Miembeni (Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea), Mlangali (Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa), Luwumbu (Halmashauri ya Wilaya ya Makete), na Mpepai (Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga). Zimetajwa pia Kata za Mletele (Halmashauri ya Wilaya ya Songea), Ipole na Kiloleli (Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge), Miyenze (Halmashauri ya Wilaya ya Tabora), Karitu (Halmashauri ya Wilaya ya Nzega), Mpapa na Myovizi (Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi), Lubili (Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi), Kilema Kusini (Halmashauri ya Wilaya ya Moshi), Nanjara/ Reha (Halmashauri ya Wilaya ya Rombo), Mtibwa (Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero), Mahenge (Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga), Likokona (Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu) na Kitangari (Halmashauri ya Wilaya ya Newala). Katika mkutano huo Mallaba ametangaza ratiba ya uchaguzi mdogo wa madiwani kuwa uteuzi wa wagombea utafanyika tarehe 2 oktoba, 2012, kampeni za uchaguzi zitaanza oktoba 3 hadi oktoba 27, 2012 na fomu za uteuzi kwa wagombea na wasimamizi wa uchaguzi zimeanza kutolewa. Aidha Mallaba amefafanua kuwa tayari tume imeshateua watendaji watakaosimamia chaguzi hizo na inaendelea na maandalizi mengine ambayo ni pamoja na mafunzo kwa watendaji, uchapishaji na ununuzi wa vifaa vya uchaguzi, uchapishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, utoaji wa elimu ya mpiga kura na uudaji wa kamati za maadili. Amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi itahakikisha kwamba chaguzi hizi zinafanyika kwa uwazi, uhuru na haki kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa ili kujenga demokrasia
   
 8. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwawaza shy, 60% cdm and the rest wavuta bangi(ccm).
   
 9. FOR 2015

  FOR 2015 JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kamanda Mbowe katuhakikishia kuwa kati ya 29 ambazo zitafanya uchaguzi 20 zitaenda CHADEMA.....naamini katika maneno yake
   
 10. S

  SAGANKA JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 313
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hilo halina ubishi kamanda.
   
 11. A

  Amatjr New Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nata mani kati ya izi 20 na mpwapwa mjini na msalato ziwe miongoni mwa izi
   
 12. K

  KISOME M-BWAGAMOYO Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nami natamani kati ya hizo 20, Magomeni (Bagamoyo) iwe mojawapo; hii itasaidia kuondokana na usukule wa viongozi wanaotumia rasilimali za umma kufanya anasa na kuimarisha ufalme wao.
   
 13. K

  KESS New Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Even me....najua 1 tu,,daraja 2-arusha
   
 14. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,780
  Likes Received: 1,207
  Trophy Points: 280
  huku Moshi Kilema Kusini tayari iko mikononi mwa makamanda wa CDM.
   
Loading...